Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
ni vizuri wananchi kuacha kupotoshana wenyewe kwa wenyewe mitandaoni na itapendeza zaidi πgallow bird Lucas Mwashambwa
narogo ChoiceVariable Tlaatlaah funaku kavulata
Mnalizungumziaje hili swala?π
Ulichokiandika ukirudia kukisoma unaweza kukiamini?Hawa vijana wakiendesha magari ya serikali wanajiona wamemaliza.
Kuna vijana wajinga sana, 200% yule kijana anawaongopea watu kuwa ni mtu wa TISS. Hana tu pesa ya kununua chuma , angekuwa na pesa yawezekana tumgesikia ameua watu kwa pistol huko bar
Usisahau chini ya plate number hiyo kulikuwa na plate namba nyingine yenye nembo ya usalama
Wewe ni chiz freshni vizuri wananchi kuacha kupotoshana wenyewe kwa wenyewe mitandaoni na itapendeza zaidi π
usipanic ukiambiwa ukweli gentlemanWewe ni chiz fresh
Kwa kweli tulipofika hivi sasa kama Taifa ni pabaya mno!
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za kumtishia kwa kitu kilichodhaniwa kuwa bastola dereva wa basi la SATCO, Said Fadhili (54).
Tukio hilo linadaiwa kutokea baada ya basi hilo lenye namba za usajili T308 EME, aina ya Yutong, kukwangua gari la TARURA lenye namba STM 5806, aina ya Land Cruiser LX 70 Series, lililokuwa likiendeshwa na Masawa.
Soma: Dereva wa SATCO aoneshewa bastola, abiria wamnusuru "walitaka kumchukua"
Polisi ilifika eneo la tukio baada ya taarifa kutolewa na kumkamata Masawa, ambapo upekuzi ulibaini kuwa kitu alichokuwa amevaa kiunoni kilikuwa toyi, si bastola halisi. Aidha, Polisi ilibaini kuwa gari hilo lilikuwa likitumia namba T881 ENZ, ambazo ni za gari mali ya mtu mwingine, badala ya namba zake halisi STM 5806.
TAARIFA KWA UMMA YA JESHI LA POLISI IMESEMA, DEREVA ALIYETISHIA KWA SILAHA BANDIA AKAMATWA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma Sath John Masawa (31) kwa kosa la kumtisha kwa kitu kilichodhaniwa ni bastola dereva wa basi la SATCO lenye usajili namba T308 EME aina ya Yutong aitwaye Said Fadhili (54) wakati akiwa anatoka kuweka mafuta katika kituo cha Total Energies na kudaiwa kukwangua gari mali ya TARURA lenye usajili namba STM 5806 aina ya Land Cruseir LX 70 series iliyokuwa ikiendeshwa na mtuhumiwa huyo.
Baada ya kuripotiwa kwa tukio hilo, Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kumkamata Sath John na baada ya kufanya upekuzi lilifanikiwa kutambua kuwa kitu alichokuwa amevaa kiunoni ni toyi siyo silaha halisi kama ilivyodhaniwa na wananchi.
Pia, Jeshi la Polisi liligundua kuwa gari hilo lilikuwa halitumii namba za usajili halisi ambazo ni STM 5806 mali ya TARURA wakati tukio hilo bali namba za usajili T 881 ENZ ambayo ni gari mali ya mtu mwingine. Jeshi la Polisi linaendelea kumshikilia mtuhumiwa kwa ajili ya mahojiano na hatua zaidi za kisheria.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linatoa onyo kwa madereva kuacha kutumia namba bandia za magari na kwa kufanya hivyo kunaficha utambulisho halisi wa gari kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Nonsenseusipanic ukiambiwa ukweli gentleman
πππNchi hii ni vituko. Yaani gari la Serikali linatumia namba fake (ironically hii ni possible kwani si ndio wasiojulikana hawa..)
Driver wa Serikali anatembea na toy la Bastola? Mizaha hii
Hiyo video hapo juu huyo mbababa mtu mzima sio wa miaka 31Nilichoumia zaidi huyu dereva wa ccm ni mdogo miaka 31,sio wa kumvuta vile baba wa miaka 54π₯,,
Aisee,wanasema ana 31yrsπHiyo video hapo juu huyo mbababa mtu mzima sio wa miaka 31
Jeshi dogo bandia ndani ya jeshi halali, halafu jeshi halali linawaogopa jeshi dogo bandia..Naomba kuuliza, hivi Jwtz pia ni usalama? au ni vyombo viwili tofauti?
-Kaveli-
Huyo dereva wa mkonga ni askari.Ni fala, angemkuta mtu ana Mkwaju angemuua au kumsababishia majeraha na ulemavu wa kudumu kwa kujihamo na usenge wake huo.
Huwezi mtishia mtu silaha hata kama ni bandia.
Kuna mbinu ya kumiliki silaha inaitwa "rise and kill first", unamtisha mtu na kitoi anakubutua kweli anajua unataka kumuua. Alimkuta dereva hana mkwaju, mimi ningeshakuwa nyuma ya nondo saa hii.
JWTZ wana kikosi kinaitwa MIA, Militaru Intelligence Agency.Naomba kuuliza, hivi Jwtz pia ni usalama? au ni vyombo viwili tofauti?
-Kaveli-
Watumbaf!Aisee,wanasema ana 31yrsπ
Huyo dereva wa mkonga ni askari.
Hizi habari ni toka ndani ya TARURA.
Askari hawabebi matoy.