Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna update moja hapa wanajamvi
Inasemekana TUNDU LISSU alikuwa katika gari na driver wake je driver wake ana hali gani?
Na kama yuko salama analipi la kuliambia jeshi la polisi kuhusu tukio hili?
post using my macbook air using jamiiforums app
Ni sawa,nachokihoji anaushahidi gani?risasi zimepigwa upande alipo kuwa amekaa lisu.. unataka dereva akusadie nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
badala ya kuweka nguvu kuwakamata wahusika wanajihami kwa kupiga vita mikusanyiko.. policcm ni zaidi ya vichwa majiMhhhh! kama jeshi tunalo aisee!
....Kwa hiyo this time taarifa za kiintelijensia hawana? Remember Lissu some days ago alishawapa tips ya gari linalomfuatilia mpaka namba, wanazingua.Sasa unataka wasipeleke taarifa kama wanayo?
Umeandika nini sasa?....Kwa hiyo this time taarifa za kiintelijensia hawana? Remember Lissu some days ago alishawapa tips ya gari linalomfuatilia mpaka namba, wanazingua.
Sent using Jamii Forums mobile app