Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Madhara ya shule za kata Haya,upo UDOM lakini kichwani hakuna kitu ujinga ni mtaji Wa ccm.Na wewe ushakua mtaji Wa chama kizee
 
Huyu jamaa anaidhalilisha sana UDOM,Kila akija kuandika hapa anaandika kinyesi kilichoshindwa kutoka kipitia njia yake hali na kutokea mdomoni.
Toa hiyo alama ya chuo unakitia aibu kwa maandishi yako yenye kipindupindu.
 
Wafuatao ni watu walikuwa waliokuwa wakidaiwa fedha nyingi na Mh tundu lissu ,na walikuwa wakitishia kutokulipa (kurudisha ) fedha hizo. hivyo ni vyema polisi wakawatafuta na kujua walipewa fedha hizo kwa ajiri ya nini na kwa nini walikuwa hawataki kulipa fedha hizo,inawezekana wakawa sehemu ya mpango wa kumuua Mh tundu lissu ili kukwepa deni hilo,Tumuombee Mh Tundu lissu apone na polisi wamuulize kuhusu majina haya na deni hilo ,kwani jambo hili linaweza kutoa mwanga katika upelelezi wao.

RAJAB HAMIS TEMBEL, JORAM MBOGO, ISSA MTONDI Wote wanaishi Kaliua Tabora.
 
Mnaficha ukweli! Itaeleweka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafakari sana baada ya kurudia maelezo ya Roma muda mfupi baada ya kuachiwa na watekaji.

Katika wimbo wake alisema iliyomteka haikuwa Noah. Je Ni Nisan Patrol Nyeupe?

Roma ungana na Lisu eleza Uliyohojiwa na watekaji. Yawezekana ni hao hao wauaji walokusudia kumuua Lisu.

Na kama sikosei uliongelea eneo la 'Ununio' ambamo kuna mstaafu mmoja wa jeshi aishiye eneo hilo alishambuliwa kwa risasi.

Roma bado umetuacha njia panda. Angalia wasikuwahi kabla hujafunguka. Hawaaminiki hawa wasiojulikana.

Tunazidi kumuombea Lisu Mungu aliyempa Pumzi baada ya risasi 13 kuingia mwilini mwake, azidi kumpa Uhai Na Uzima.
 
Moderator , Invisible Bridger huu Uzi wangu unahusianaje na huu? Watu tunatafakari kusaidia. Nyie mnaunganisha uzi kwenye Uzi mwingine wenye Post 700+ ili iweje?
 
Chochote tu ingekuwa ni furaha na Mungu alivyo wa ajabu huenda tukasikia chochote kwa hao waliomshambulia Lisu ili kuutoa uhai wake

Alieagiza na waliotumwa au waliokuwa na dhamira mbaya juu yake toka mwanzo

Mungu haangalii cheo cha mtu bali haki na wajibu wa watu wake kwake

Pray for Lisu
 
Hawajulikani[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mungu ni mwema.

Mrejeshee mja wako hali yake ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…