Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Hao walilipoti polisi hayo yote uliyoandika juu yao? Embu weka na namba za mashitaka yaobkwanza then tuendelee.. hata ya Lissu weka. Hao wote wahojiwe hadi wajue kuacha kudandia mengine na kusingizia wengine.. watahojiwa tu.. sio kukimbilia kutaka kuficha wanayojua.

Dereva anasakwa sasa hivi kaambiwa ajitokeze kuhojiwa.. so subiri uone aibu itakavyowapata wengi wadaku na wanaopenda kusingizia serikali na Raisi wetu mpendwa juu ya kila kitu.
Mmoja wa watu wasiojulikana
 
Hapo umechemka Mkuu yaani Dereva asihojiwe??

Eti kuhojiwa kwake kutatuongezea hasira wananchi.

Opsssss!
 
Hao walilipoti polisi hayo yote uliyoandika juu yao? Embu weka na namba za mashitaka yaobkwanza then tuendelee.. hata ya Lissu weka. Hao wote wahojiwe hadi wajue kuacha kudandia mengine na kusingizia wengine.. watahojiwa tu.. sio kukimbilia kutaka kuficha wanayojua.

Dereva anasakwa sasa hivi kaambiwa ajitokeze kuhojiwa.. so subiri uone aibu itakavyowapata wengi wadaku na wanaopenda kusingizia serikali na Raisi wetu mpendwa juu ya kila kitu.

Surely you sound like one of them! Watu wasiojulikana lakini wana Gari Toyota Premio , T 460 ACQ, wanakwenda makanisani, wanaingia viwanja vya Bunge mpaka kwenye makazi ya Waheshimiwa Wabunge, wanafyatua risasi 32 , wanatokomea na hakuna wa kuwakamata!!! Sounds so good.....!! Watu wasiojulikana hata IGP Cirro hatawakamata. Atawakamataje na hawajulikani???
So the story continues........! The unidentified ghosts from Lumumba street.
But there is one and only one Who knows them very well.....The God Almighty. One of these days He gonna reveal them. That will be the end of the story.....!!
 
Wote tunajua kuwa Mh. Mbunge wa Singida Mashariki; Raisi wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika na Mwanasheria mkuu wa Chama cha Democrasia na Maendeo CHADEMA; ndugu Mh. Antipas Tundu Lisu alishambuliwa juzi ( Augast 6) kwa lisasi akiwa na Dereva wake akiwa anafika nyumbani kwake maeneo ya Block D mahali wanapokaa viongozi wa kitaifa ( wabunge; supika na mawaziri) akitokea Bungeni.

Wauaji hao walimumiminia lisasi kibao zaidi ya 28 na kumpata tano tu. Hata hivyo Mh. Lisu alikimbizwa Hospitali ya mkoa wa Dodoma na kupatiwa matibabu ya dharura na baadae tukaambiwa amepelekwa Nchini Kenya kwa matibabu na tuanaarifiwa anaendelea vizuri.

Licha ya kuwa walomvamia na kumshambulia kwa lisasi nyingi kiasi kile kuitwa na Jeshi la Polisi watu wasiojulikana; watu wengi nao pia wamezidi kujiuliza maswala mengi na kujikuta na sintofahamu .

Polisi wanadai kuwa:
1. Wananchi wawapelekee tarifa kuhusu shambulio hio.
2. Wameweka ulinzi wa kutosha katika mipaka ya mji wa Dodoma ili kuwaata walomshambulia Mh. Mbunge.
3. Dereva alokuwa akimwendesha Tundu Lisu aende polisi kwa mahojiano zaidi.
4. Wametuma mabingwa wa upelelezi kutoka Dar kwenda Dodoma ili kuwasaka walomshambulia Tundu Lisu
6. Wamekamata Magari Aina ya Nissani patrol meupe kwa mahojiano zaidi. n.k

Hayo yote ni kiini Macho. Polisi wanataka kutufanya sisi watanzania kama mazuzu. Na ndo maana waakuja na hizo jitihada feki za kutudanganya eti wanania na wamedhamilia kuwatafuta walotekeleza shambulio hilo.

Waache kuturaghai sisi. Njia nyeupe kabisa ya kuwanasa hao walotekeleza huo uhalifu hii hapa:

Wahojiwe Walinzi au Askili Polisi wa zamu kwenye geti linaloingia kwenye makazi ya Block D

Ni ukweli mtupu kuwa njia iendayo kwenye makazo ya Block D ; makazi ya viongozi ina Geti. Kwa maana hiyo basi pale kuna walinzi tena professional na sio hoha hohe! Na pia bila shaka kutakuwa na Cctv Camera pale.

Licha ya hilo. Bila shaka huwezi pita kwenye Geti bila kuruhusiwa na walinzi. Hata haya mageti ya Mashuleni na Makampuni mbali mbali tunaona unapoingia kuna kitabu cha wageni ambacho mtu husaini kwa kuandika taarifa zako kama : majina yako; utokapo na uendako pia huandika na muda. Kama usafiri huandika namba za gari pale kwenye kitabu na badae huruhusiwa kuingia. Pia wakati wa kutoka husaini pia pale kwenye kitabu kuwa umetoka na muda ulotoka.

Swali: Kwa maelezo haya; Polisi hawaoni kuwa kuna haja ya kuwahoji walinzi walokuwa pale siku ya tukio kwani wao ndo wana hand information?

Watakapo ulizwa : Polisi watajua Namba za hiyo Nissan patrol nyeupe na walotekeleza uhalifu huo. Pia kupitia cctv camera wataweza kujua kila kitu.

Nawasilisha.
 
This is a fools territory..what do you expect other than foolishness
 
Vipi ripoti za kuchunguza tukio la kutekwa Roma, kupotea Saanane, uvamizi clouds?
 
Kwani ni nani aliyeripoti kwamba tal kapigwa risasi? Tuambie wewe na hiyo number ya ripot. Mambo mengine tuwe tunatumia ubongo kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao walilipoti polisi hayo yote uliyoandika juu yao? Embu weka na namba za mashitaka yaobkwanza then tuendelee.. hata ya Lissu weka. Hao wote wahojiwe hadi wajue kuacha kudandia mengine na kusingizia wengine.. watahojiwa tu.. sio kukimbilia kutaka kuficha wanayojua.

Dereva anasakwa sasa hivi kaambiwa ajitokeze kuhojiwa.. so subiri uone aibu itakavyowapata wengi wadaku na wanaopenda kusingizia serikali na Raisi wetu mpendwa juu ya kila kitu.
Wwe kizuka acha kupoteza lengo! kama wewe una jina la wasiojulikana uko kwenye line up yetu kwa mbinu isiyojulikana 18 utaingia tu subiri
 
Sioni haja ya Polisi kujichosha namna hii. Kama wana nia kweli ya kuwakamata waalifu. Basi wawahoji walinzi wa siku ile
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa hiyo hutaki dereva aliyekuwa anamuendesha Lissu wakati wa shambulio ahojiwe na polisi? Are you serious?

Kwa hiyo kama risasi 1 kati ya 32 ingelimpata kichwani, kifuani huyu dreva na akafa ungelimhoji nani??? Policcm mnaacha vyanzo vya tukio mnataka kusumbua walewale walioathirika..!! Hii ni mbinu ya ku-terrorize waathirika hata kama wanajua chochote wasiseme maana wataharibu mpango mzima wa Bashite......!!!
Ninasema tena Polisi wasiendelee kutufanya Watanzania kama hatuna akili......!!
 
Ni sept 06 sio Agost 06.
Ila kama kuna geti na walinz hawakuskia?Hawakuona?

May Allah bless Me and You
 
asante ndugu mtaalam wa upelelezi uliyebobea
 
Back
Top Bottom