Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hate CCM na Serikali yake.
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari nyeupe aina ya Nissan.
Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema polisi wameshaanza kufanya upelelezi kuhusu wahusika na kusema watu waendelee kusubiri taarifa kutoka kwenye jeshi hilo
Amesema hawatapenda kuona mikusanyiko sehemu yoyote ya Dodoma mjini kwa sababu jeshi la polisi bado linafuatilia asili ya tukio lenyewe na mikusanyiko ya watu inaweza kutumika vibaya.
Pia wataendelea kuwafaamisha raia kwenye kila hatua watakayofikia
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
mkuu naweza nisifaham sababu hasa kwanini Rais aliiomba bunge lichunguze ila argument yangu ni kuhusu COMPENTENCE ya TISS ambayo unataka kuiexaggerate sana wakati malalamiko yako humu kila kukicha hta bungeni TISS wamelalamikiwa sana kwa kukosa ufanisiHata kama mtu si security expert ama consultant kama ulivyosema. Hata basics tuunaweza kujua uongo na ukweli.
Sijui kama TISS wamepungukiwa na magari na budget yao ni ndogo kiasi cha kutumia gari lilelie basi afazali waongezewe budget ili wafanye kazi vizuri.
Hii ni too AMATEURISH/ Ya USANII na maigizo.
Haiingi akilini.
Mambo ya Almasi na uliyoyasema nafikiri kuna taasisi mbali mbali zinazoweza kufanya kazi pamoja na si kutegemea kitengo kimoja.
Ndo naomba ujiulize.
Kwa nini Mh. Rais Aliomba bunge lichunguze haya na si TISS?
Ukipata jibu basi rudi tujadiliane.
Lisu hajashambuliwa August 6 bali ni SeptemberWote tunajua kuwa Mh. Mbunge wa Singida Mashariki; Raisi wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika na Mwanasheria mkuu wa Chama cha Democrasia na Maendeo CHADEMA; ndugu Mh. Antipas Tundu Lisu alishambuliwa juzi ( Augast 6) kwa lisasi akiwa na Dereva wake akiwa anafika nyumbani kwake maeneo ya Block D mahali wanapokaa viongozi wa kitaifa ( wabunge; supika na mawaziri) akitokea Bungeni.
Wauaji hao walimumiminia lisasi kibao zaidi ya 28 na kumpata tano tu. Hata hivyo Mh. Lisu alikimbizwa Hospitali ya mkoa wa Dodoma na kupatiwa matibabu ya dharura na baadae tukaambiwa amepelekwa Nchini Kenya kwa matibabu na tuanaarifiwa anaendelea vizuri.
Licha ya kuwa walomvamia na kumshambulia kwa lisasi nyingi kiasi kile kuitwa na Jeshi la Polisi watu wasiojulikana; watu wengi nao pia wamezidi kujiuliza maswala mengi na kujikuta na sintofahamu .
Polisi wanadai kuwa:
1. Wananchi wawapelekee tarifa kuhusu shambulio hio.
2. Wameweka ulinzi wa kutosha katika mipaka ya mji wa Dodoma ili kuwaata walomshambulia Mh. Mbunge.
3. Dereva alokuwa akimwendesha Tundu Lisu aende polisi kwa mahojiano zaidi.
4. Wametuma mabingwa wa upelelezi kutoka Dar kwenda Dodoma ili kuwasaka walomshambulia Tundu Lisu
6. Wamekamata Magari Aina ya Nissani patrol meupe kwa mahojiano zaidi. n.k
Hayo yote ni kiini Macho. Polisi wanataka kutufanya sisi watanzania kama mazuzu. Na ndo maana waakuja na hizo jitihada feki za kutudanganya eti wanania na wamedhamilia kuwatafuta walotekeleza shambulio hilo.
Waache kuturaghai sisi. Njia nyeupe kabisa ya kuwanasa hao walotekeleza huo uhalifu hii hapa:
Wahojiwe Walinzi au Askili Polisi wa zamu kwenye geti linaloingia kwenye makazi ya Block D
Ni ukweli mtupu kuwa njia iendayo kwenye makazo ya Block D ; makazi ya viongozi ina Geti. Kwa maana hiyo basi pale kuna walinzi tena professional na sio hoha hohe! Na pia bila shaka kutakuwa na Cctv Camera pale.
Licha ya hilo. Bila shaka huwezi pita kwenye Geti bila kuruhusiwa na walinzi. Hata haya mageti ya Mashuleni na Makampuni mbali mbali tunaona unapoingia kuna kitabu cha wageni ambacho mtu husaini kwa kuandika taarifa zako kama : majina yako; utokapo na uendako pia huandika na muda. Kama usafiri huandika namba za gari pale kwenye kitabu na badae huruhusiwa kuingia. Pia wakati wa kutoka husaini pia pale kwenye kitabu kuwa umetoka na muda ulotoka.
Swali: Kwa maelezo haya; Polisi hawaoni kuwa kuna haja ya kuwahoji walinzi walokuwa pale siku ya tukio kwani wao ndo wana hand information?
Watakapo ulizwa : Polisi watajua Namba za hiyo Nissan patrol nyeupe na walotekeleza uhalifu huo. Pia kupitia cctv camera wataweza kujua kila kitu.
Nawasilisha.
Mahita:Tumemshauri IGP Sirro apambane na wanasiasainamaana kwa hili la Lissu intelejensia imekwama au ndio futuhi zinaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahita:Tumemshauri IGP Sirro apambane na wanasiasaSote hatuna uhakika na wala hakuna mwenye uhakika wa wauaji ni kina nani, kuwa na mikwaruzano na mtu halafu baadaye ukaja kufikwa na jambo baya. Huwezi kumtuhumu yule uliyekwaruzana naye ndiyo mhusika, kama hukumwona na huna ushahidi wowote.
Jamani Lisu alikwaruzana na serikali hata ikafikia yeye kawa ni mtu wa kuingia rumande kila wakati. Wengi wamedhani serikali ndiyo adui yake mkubwa, hivyo kukitokea jambo baya basi wao ndiyo wahusika wakuu.
Hebu tusiwaze mambo kimazoea, mengine uyaonavyo sivyo yalivyo. Dunia pana hii ina mengi tusiyoyajua, hivyo tusilo na uhakika nalo tusiruhusu hisia zetu ndiyo zitutawale. Mkumbuke nyinyi ni wanadamu na mapungufu mengi, mkumbuke pia si kila mkiwazacho chaweza kuwa kweli.
Sote twamjua Lissu kupitia siasa ila si upande wa maisha mengine, ana marafiki wampendao. Anaweza kuwa na watu ambao hawapo kwenye siasa au serikalini wakawa ni maadui zake tena hata bila ya kumkosea, wengine hatuwajui wasiyompenda Lissu.
Mtaanzaje kuhisi kirahisi tu na kuweka dhana mbaya juu ya kina fulani, jamani ifike mahali itikadi za kisiasa tusizifanye kama dini. Humjui mtu ana maadui wangapi ambao huko mnapowaza hawapo, mkumbuke yule ni binadamu na daima mwanadamu huwezi pendwa na watu wote hata wale waliyopo upande wako hujui nyoyoni mwao kuna nini.
IFIKE MAHALI MENGINE TUNYAMAZE, SI KILA MAHALI SIASA TU NDIYO CHANZO KISA TU IMEMKUTA MWANASIASA
Mahita: Tumemshauri IGP Sirro apambane na wanasiasaNa mm nashangaa...hii statement imekua common sana...et mwenye taarifa.?Kazi yao ni ipi sasa...kutafuta taarifa au kukaa kusubiri wapelekewe taarifa....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe kwa kitu kimoja NAO waende na nyakati.mkuu naweza nisifaham sababu hasa kwanini Rais aliiomba bunge lichunguze ila argument yangu ni kuhusu COMPENTENCE ya TISS ambayo unataka kuiexaggerate sana wakati malalamiko yako humu kila kukicha hta bungeni TISS wamelalamikiwa sana kwa kukosa ufanisi
kwa mfano mbona hushangai inakuaje siri za serikali zinavuja hasa awamu iliopita kma wana hizo basics walishindwaje kuzuia leakeges???
kma wana basics ilikuwaje walimteka ulimboka mpka walifkiri wamemuua kumbe lah ina maana hao TISS hawajui mtu akifa anakuaje na akiwa hai anakuaje???
mbona mpka message zilionekana za ighondu kupitia mtandao mmoja wa simu?? hakujua kasajili line na kwamba message zinaweza kuwa intercepted? na hyu alikuwa top kumbuka sembuse hawa wanaotumwa field???
kma hao TISS walimtegeshea vinasa sauti dr slaa na licha ya kwamba hana background ya jeshini ila bado aliweza kujua anarekodiwa na akakuta vinasa sauti kwenye mashuka juu kabisa ambapo hata hausigeli anaweza kuona je hyo haikuwa "amateurish"???
TISS ni wa miaka hyo ya 70 sio hawa wa cku hizi ambao tupo nao mitaani hku wanajisifia kuwa huko na wanaropoka wazi siri za wakubwa so i can conclude kuwa TISS ni amateurs rais aifumue upya aweke watu competent ili tuhisi tupo salama sio ssa ambapo makinikia yanaibwa hawaoni au almasi inapita bila kupimwa eti hawajui???
suprising!!!
Mtaendelea KUKALIA GOGO mpaka mwisho dhaifu mkubwa thats why hauna MARINDA yote ANYAU wajanja wameshayatatua...... steam za MAJANI YA ARUSHA zinakudanganya...Tamba unavyopenda lakini mambo yakigeuka uwe unatembea na KY jelly kwani itakupunguzia michibuko. Yai lazima tuvunjie kwenye shimo la tope hapo nyuma.
Mapepo yanajulikana...KUNA wasaliti wa asili toka enzi na enzi lakini mbinu zenu zinagonga mwamba....MAJANI YA ARUSHA na MIRUNGI ndiyo inayoongoza hisia na akili zenu....MUNGU ATAWAKOA SIKU MOJA....NAKUONA MFUASI WA PEPO...
KIKUNDI CHA WAHUNI KUTOKA KANDA YA ZIWA..
KALISALITI PEPO..
LILISHINDWA KUJENGA UPENDO HATA KWENYE NDOA YAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
TUNDU ni BONGE la MSALITI..... He will always being remembered kwa KUFANIKISHA KUZUIWA kwa BOMBADIER ili kukwamisha MAENDELEO YA SHIRIKA LA NDEGE la ATCL.....msaliti??? duh sasa chenge au yona aliyesaini mikataba hii mibovu ama kina simbachawene walioingiza nchi hasara kwa tamaa za matumbo yao tuwaieteje if at all lisu ni msaliti????
hahahahaha mkuu kma english hufaham si ukae kimya kma anavyofanya magu!! kwani ni lazma uongee english ili uonekane msomi??? kma english yenyewe ndio sifuri sembuse utamuelewa lisu??LISU ni MSALITI
TUNDU ni BONGE la MSALITI..... He will always being remembered kwa KUFANIKISHA KUZUIWA kwa BOMBADIER ili kukwamisha MAENDELEO YA SHIRIKA LA NDEGE la ATCL.....
Shetani hajawai mshinda Mungu hata siku moja... Saivi nipo kwenye bombardier q## nakatiza mitaa ya Lumumba nimeishiwa bando[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]Hao walilipoti polisi hayo yote uliyoandika juu yao? Embu weka na namba za mashitaka yaobkwanza then tuendelee.. hata ya Lissu weka. Hao wote wahojiwe hadi wajue kuacha kudandia mengine na kusingizia wengine.. watahojiwa tu.. sio kukimbilia kutaka kuficha wanayojua.
Dereva anasakwa sasa hivi kaambiwa ajitokeze kuhojiwa.. so subiri uone aibu itakavyowapata wengi wadaku na wanaopenda kusingizia serikali na Raisi wetu mpendwa juu ya kila kitu.
Surely you sound like one of them! Watu wasiojulikana lakini wana Gari Toyota Premio , T 460 ACQ, wanakwenda makanisani, wanaingia viwanja vya Bunge mpaka kwenye makazi ya Waheshimiwa Wabunge, wanafyatua risasi 32 , wanatokomea na hakuna wa kuwakamata!!! Sounds so good.....!! Watu wasiojulikana hata IGP Cirro hatawakamata. Atawakamataje na hawajulikani???
So the story continues........! The unidentified ghosts from Lumumba street.
But there is one and only one Who knows them very well.....The God Almighty. One of these days He gonna reveal them. That will be the end of the story.....!!