Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

sometimes siielewi nchi yangu,jinsi jeshi letu la polisi linavyofanya kazi zake bado lipo kwenye utendaji wa miaka ya 70s,nguvu nyingi maarifa kidogo huwezi kuendesha jeshi la polisi bila ya kutumia utaalamu,bila ya kuwa na forensic dept.yenyw vifaa na wataalum waliosomea ni vigumu mno kuja na majibu ya matukio kama haya,na elewa kitengo hiki kina idara mbalimbali ambazo zinasaidiana kwenye uchunguzi,including profile one etc etc;huwezi ukawa unakamata watu tu mitaani kisa wamejikusanya ,mikusanyiko yao ipo kikatiba as far haivunji sheria yeyote ile.angalia picha yule dereva wa Hon.LISU amepigwa picha akiwa ameshikilia nguo zenye damu yale ni makosa ilitakiwa isiwe vile,eneo la tukio halikuthibitiwa(ile ni crime scene),hopefully polisi wameshachukua statement from the driver and to any eye witness;
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.

Hujauliza swali moja tu RC Dar alikuwa wapi siku ya tukio??
 
Eti unajiita GT !!!.Kuna vitu viko hadharani wewe unaweka crue za hovyo hapa.Lissu aliwahi kutoa taarifa ya kufuatiliwa na gari na akataja wanaomfuatilia ni kina nani na gari lao akalitaja kwanini huo uchunguzi wako husianzie hapo?.

Sent using Jamii Forums mobile app
IGP Sirro mbona ameshaweka bayana kwamba Lissu hakuwahi kutoa taarifa za kufuatiliwa katika kituo chochote cha Polisi isipokuwa amekuwa akisikika kwenye majukwaa ya siasa akilalamika kutishiwa maisha na kufuatiliwa na watu. Kwa mujibu Wa IGP Tundu ni mwanasheria haki zake anazijua pale inapotokea kuwa ametishiwa maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.

Maswali ya kipumbavu ya kuzidi kutia watu hasira...ulitaka mumeo ndiye ampe rufaa dereva kwenda kutibiwa? Hiyo rufaa ya kushambulia nani aliwapa hao wasiojulikana?
 
IGP Sirro mbona ameshaweka bayana kwamba Lissu hakuwahi kutoa taarifa za kufuatiliwa katika kituo chochote cha Polisi isipokuwa amekuwa akisikika kwenye majukwaa ya siasa akilalamika kutishiwa maisha na kufuatiliwa na watu. Kwa mujibu Wa IGP Tundu ni mwanasheria haki zake anazijua pale inapotokea kuwa ametishiwa maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaha majukwaa ya siasa hahahha! tangu lini jpm akaruhusu watu kusimama jukwaani.
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.

rubbish.

magreat thinker tumeisha fanya preliminary homework. tuna mawasiliano yote ya mtandao Dodoma nzima siku hiyo tunachambua ili kulink na counterpart Dar.
 
Mnafiki mkubwa wewe!! Ni wewe ambae ni juzi tu hapa umesema:
A victim of hate speech. Wewe ni mmoja wao. Pole. Hao unaowataja unawatakia mema? You should know your party principle that none is allowed to rise above Mbowe or associates. Zitto was the luckiest, but not Lissu though at least has survived. Chacha Wangwe hakupata bahati hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ukijaribu kuaminisha watu kwamba shambulio dhidi ya Tundu Lissu lina uhusiano na Mbowe; kwamba, ni Mbowe ndie amepanga halafu unakuja hapa tena vioja uchwara eti "kusaidia upelelezi"!! Kwanini usiwe wazi na kusema "...kutengeneza upelelezi wa kumtia Mbowe hatiani?"

Kama umeshafahamu kwamba aliyehusika ni Freeman Mbowe, sasa hayo unayosema yana umuhimu gani?! Au uliropoka uliposema Mbowe ndie anahusika?!
 
Acha uhayawani wewe! mbona mnahangaika sana,tulieni kimya Lissu mliyetaka afe hajafa na ameshasema anawajua kwa hiyo tulieni aje wataje acheni kugongesha mavi kwenye chupi.
 
rubbish.

magreat thinker tumeisha fanya preliminary homework. tuna mawasiliano yote ya mtandao Dodoma nzima siku hiyo tunachambua ili kulink na counterpart Dar.
Total rubbish! Huyo jamaa ni mwehu sana. Ni juzi tu hapa kasema kwamba aliyehusika ni lile shambulio na Freeman Mbowe halafu hapa anakuja na hoja eti kusaidia upelelezi! Huyu hapa
A victim of hate speech. Wewe ni mmoja wao. Pole. Hao unaowataja unawatakia mema? You should know your party principle that none is allowed to rise above Mbowe or associates. Zitto was the luckiest, but not Lissu though at least has survived. Chacha Wangwe hakupata bahati hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.
Wauaji mnvyojihisi hadi mnatia huruma, tuanze na Bashite alikuwa wapi siku ile hadi akakosa hafla ya kukabidhiwa ripoti ya madini, huwa hakosi leo nimemuona yupo.
 
Duh mnawashwa, naonà kìķosì kazi cha bashite nà lemùtuzz mpo kumsafishà mkulu, nachojiulizà kwaniñi mnàtumìa nguvu nýinģi
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.
 
Hilo swali la 1 (i) kuwa walikula lunch na Mbowe ipi na lini? Taarifa zinasema alitika bungeni mchana kwenda nyumbani kula chamcha. Hebu tuambie lunch waliyopata pamoja ni ipi na wapi?
Na haya maswali yako ni ya kitoto sana kwani hayamfikirishi gt yeyote zaidi ya kupotezeana muda. Labda kama le mutus ndie anayepewa hizi dondoo zimuongoze kumtetea mwanampendwa!
 
Swali lingine; Nina nani anataka kumuua Lissu? Motive ya kumuua Lissu ni nini?

(a) Kumyamazisha kwa sababu anaikosoa sana na kuiumbua sirikali.
(b) anatishia wadhifa au maslahi ya kiongozi kwenye chama kwa umaarufu wake?
(b)
 
Swali lako la 3...

Roman iii na iv ... Unajua mpaka sasa nani anatibia matibabu ya Lissu kama unajua basi huna haja ya kuhoji kuhusu dreva.... maana Uhai wa mtu haufananishwi na gharama yoyote ile.....

Kuhusu Mamlaka gani hayo yote yanini mkuu we Pambana na Hali yako tuuh na acha Umbea
Aache umbea ! Amegusa penyewe nini ?
 
Wana JF,

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.

Ni nani aliyekuambia Dereva anaumwa Trauma? unajua Trauma ni ugonjwa gani?
 
Mtoa mada apimwe akili na mkojo,kaandika mambo ya kujipendekeza upande X.
 
Back
Top Bottom