Hakuna jambo la kushangaza kama pale viongozi wa chadema na wanachama wao wanaposema vyombo vya dola vinahusika na utekaji , watu wanaopotea pamoja na shambulizi la risasi kwa mh Lissu.
Mwenyekiti wa chadema bw. Freeman Mbowe alisema kuwa wahusika wa matukio hayo ni vyombo vya dola, inachekesha lakini wacha tu niwakumbushe kidogo wapenzi wa chadema na viongozi wenu.
Mwaka 2012, akiyekuwa mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema ambaye kwasasa ni Mbunge wa Bukoba Mjini bw.
Wilfred Lwakatare ameonekana kwenye moja ya clip akipanga mipango ya kuwateka na kuwaua waliokuwa wahariri wakuu wa magazeti ya mwananchi(bw. Msaki) na Tanzania daima(Absalom Kibanda). Nadhani kila mtu anajua kilichomtokea kibanda
Matukio ya kupotea kwa Ben Saanane , kutekwa kwa Roma Mkatoliki pamoja na shambulio la risasi kwa Tundu Lissu halina tofauti na kutekwa na kuteswa kwa Absalom Kibanda ambaye alikuwa kiongozi wa Chadema pia mhariri mkuu wa gazeti la chadema (Tanzania Daima)
Kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chadema ambayo kwasasa ipo chini ya BENSON KIGAILA ambaye kwasasa ndio nyota wa michezo ya kuteka, kuoteza, kuua na kuwatisha maisha wabunge na wanachama wa chadema.