Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Hebu nyie wavuta bangi wa Chadema tuacheni kwa sasa tuko busy na mapambano dhidi ya Corona. Hivi Mwenyekiti wenu alishamaliza SELF ISOLATION?
Alishamaliza mkuu sasa mwenyekiti wenu ndo yuko self Isolation chato....
 
Mkuu hata hao waliowaita hapo watumia mitandao hiyo hiyo kufikisha ujumbe. Traditional media haziwezi kutangaza huo mkutano. Wajifunze pia kwenda na wakati na kusoma mazingira.
Sikatai mkuu.
Tulishahimiza hili toka zamani mno, lakini CHADEMA hawataki na sielewi sababu zao ni zipi.

Upo uwezekano pia kuwa hii misukosuko wanayopewa viongozi wao, hata ya kuwekwa jela ikawa ni sehemu ya kufikisha taarifa kwa wananchi?
Utanisamehe sana kwa swali kama hilo!.
 
Of course wenyewe wanasema Publicity good or bad is always good, maybe ndio maana wanatafuta headlines kama hizi. Lakini kwa hili wanachemsha, wanapaswa kuonyesha kwamba wao ni responsible kuliko hawa wanaokutana Karimjee
 
Huu uzi sidhani kama utadumu!
 
Hawana corona na hawajawekwa karantini kama mbowe na familia yake huwezi fananisha mgonjwa Wa corona na MTU mzima Ummy,majaliwa na makonda
Umesahau kuwa haiombwi na kama unawaombea ili waipate Hilo ni juu yako! Unyanyapaa kwa ccm ni Kama ngozi ya mwili, hivyo sikushangai wewe kuendekeza unyanyapaa wenu! Hampo salama kihivyo!
 
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki ! Ni vema serikali ikaruhusu utoaji mimba ili kuwaruhusu wazazi kuchagua aina ya watoto wawatakao
Wazazi wangu wanajivunia kuwa na kijana Kama Mimi ila mama yako nadhani atakuwa shupavu sana kuilea mimba ya kubakwa mpaka ukazaliwa anastahili pongezi
 
Kwahiyo unakubali anatafuna ruzuku za chama? Nani kasema anafanana na mbowe? Usijaribu kunifananisha na muhuni tafadhali
 
Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari


Sent from my iPhone using Tapatalk
Kuna jinai ipi apo?
Kuna siku nawe utabaki mifupa kumbuka...Corona hamna sasa mnaogopa nini?
 
Polisi wataruhusu mikusanyiko yote ila siyo ya chadema kisa corona ina maana mikusnyiko mingine Corona haifiki?
 
 
Ameandika upumbavu kama mleta uzi alivyo na akili za kipumbavu.
Kila mtu ana muda wake wa kuomba Mungu na nchi hii Kuna watu hawaamini kuna Mungu.
Kwahiyo acha watu wafanye yao wewe na mumeo/mkeo ombeni shida ipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…