Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Ameandika upumbavu kama mleta uzi alivyo na akili za kipumbavu.
Kila mtu ana muda wake wa kuomba Mungu na nchi hii Kuna watu hawaamini kuna Mungu.
Kwahiyo acha watu wafanye yao wewe na mumeo/mkeo ombeni shida ipo wapi?
Nchi yetu imejengwa kwa misingi ya umoja na uzalendo. Hichi ni kipindi cha kushikamana pamoja sio kuleta chuki na mifarakano.
 
labda mwenyekiti anataka kutoa mwongozo kwa taifa kuhusu covid-19,yule mwingine kaingia mitini katuachia msala
 
Yaacheni haya majuha yapigwe na korona hakuna haja ya kuyaonya Mbowe nenda kapumzike Corona inachagua mapuuzi haya kuyapiga! subirini kiama mbwa koko!!
Mbowe Ana nini? Ana chanjo? Si angemuonya mwanae na Joyce mukya
 
Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Hao wanapenda cheap popularity
Watu wanakufa wao wanatafuta ujiko wa kisiasa
 
Mbowe ni muhuni tu anastahili kupuuzwa ikiwezekana aepukwe Kama ukoma
 
Kinachoogopwa ni corona lake mbowe lilloko nyumbani kwake asije ambukiza wengine

Ni Aibu si tu Kwako binafsi bali hata kwa Taifa la Tanzania kwa Mtu mzima kama Wewe tena Msomi kuandika Upumbavu huu.
 
Mngeanza kumtoa Kwanza mwenyekiti wa kudumu kwenye ile Sacco's ya ufipa
Jiongeze we poyoyo nchi inaharbika kwa sababu ya mwenyekiti wa ufipa au lumumba? Kamata huko chato rudisha Dar akachape kazi sio blabla
 
Jiongeze we poyoyo nchi inaharbika kwa sababu ya mwenyekiti wa ufipa au lumumba? Kamata huko chato rudisha Dar akachape kazi sio blabla
Nani amekuambia nchi Ina haribika DJ au? Nchi inasonga wewe unalia piga kazi kiwavi Cha ufipa, usisahau kufuatilia kufuatilia hotuba ya kipenzi Cha watanzania raisi jpm

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Wakuu mimi nimechoka kuongozwa na taahira, sijui Mungu atatusaidia lini aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…