Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Kwa ufala wako unazani DJ ni tusi kumbe ni kazi nzuri yenye kipato sasa huyo asiye na vyeti mbona hawaogopi waziri mkuu wala waziri wa afya akitaka kuongea anakusanya watu hata stend, wewe ndiyo msukule mifano yako ya kishamba sana.
Hatuna sifa ya kutukana Kama misukule ya ufipa u dj Ni fani yake professional au nimekosea

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Muhuni toka lini akawa muoga wa serikali? Kwa taarifa yako haogopwi Kama angeogopwa angeachwa afanye anavyotaka serikali haiogopi wahuni

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
CCM haina misukule bwashee utupishe kaa huko mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
CCM ndipo chimbo la mbumbumbu vilaza wote ndiyo maana wakampa Tenda ya mabilioni Le mutuz na cyprian Musiba kuwatetea mitandaoni, wangekuwa ni wajanja wasingeweza kuingia kwenye huo mtego wa kuliwa pesa zao na watu kama Le mutuz kubwa jinga asiye na vyeti licha ya kukaa hapa marekani miaka kibao akigoma kwenda shule.
 
Hili la kutokuwepo Kwa mkutano huu, mbona hata wao Chadema walijua tangu hata ya maazimio yenyewe,

Hivi, Serikari si ndo ilitanfazo kuondoa semina, mikutano na misongamano, Ispokuwa mikutano ya kidini nayo pia iwe ni Kwa watu wachaache Sana,

Iweje sasa Wao Chadema wavunje Hilo katazo ambalo hata mwezi mmoja bado

Au ndo kila kitu ni siasa, kuvunja kanuni ni siasa, kuvunja Sheria ni siasa, kuvunja utaratibu ni siasa, Okey, waendelee kuosoma maskitiko yetu hapa
 
Kwani umeambiwa u dj Ni tusi? Hiyo ni fani yake professional Sasa tatizo liko wapi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari

Sent from my iPhone using Tapatalk
Huyo mbowe mwenyewe nyumbani kwake kuna li corona ana roho ya kiuaji huyo waandishi Wa habari mtakufa na mi corona na vikamera vyenu
Kakiri wazi corona imetembelea nyumbani kwake hicho kiofisi cha chadema mlikipulizia dawa? Nyie chadema mtakufa kwa corona
 
Hatuna sifa ya kutukana Kama misukule ya ufipa u dj Ni fani yake professional au nimekosea

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Huyo DJ na wewe leo mkisema mtoke hadharani muoneshe hatua mlizopiga katika maisha,utaonekana wewe ndiye mwendawazimu!Hata JPM alitoka kushika chaki na sasa ni Rais baada ya kusoma kwa kuunga unga mpaka akafanikiwa!Uliza historia ya Simbachawene,alikuwa konda wa daladala na sasa ni waziri!Leo unaweza kusimama na kusema Simbachawene alikuwa konda au mchunga ng'ombe kabla?
Endeleeni kupuyanga!
 
Jana waliojikusanya pale karimjee na waziri mkuu hawatakufa na corona?
 
Hana corona kama mbowe ambaye nyumbani kwake corona ipo
Mwana FA ni ndugu yake Ummy na kutwa yupo kwa Ummy acheni hizo mikusanyiko ya CCM ndiyo ilipeleka corona TBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…