minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wewe una hoja ipi? Ebu toa hoja kwa mfano tuoneNi mtazamo wako tu Kama ulivyo kosa hoja ya kupangua hoja
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una hoja ipi? Ebu toa hoja kwa mfano tuoneNi mtazamo wako tu Kama ulivyo kosa hoja ya kupangua hoja
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Watanzania wangapi wana access na YouTube?Magwanda nao wanafeli wapi jamani? Mbona kuna YouTube live
Hatuna sifa ya kutukana Kama misukule ya ufipa u dj Ni fani yake professional au nimekoseaKwa ufala wako unazani DJ ni tusi kumbe ni kazi nzuri yenye kipato sasa huyo asiye na vyeti mbona hawaogopi waziri mkuu wala waziri wa afya akitaka kuongea anakusanya watu hata stend, wewe ndiyo msukule mifano yako ya kishamba sana.
Sijakosea, kumbe ni kweli, rudi tu kamalizie dose.Ni mtazamo wako tu Kama ulivyo kosa hoja ya kupangua hoja
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Muhuni toka lini akawa muoga wa serikali? Kwa taarifa yako haogopwi Kama angeogopwa angeachwa afanye anavyotaka serikali haiogopi wahuniKwa ufala wako unazani DJ ni tusi kumbe ni kazi nzuri yenye kipato sasa huyo asiye na vyeti mbona hawaogopi waziri mkuu wala waziri wa afya akitaka kuongea anakusanya watu hata stend, wewe ndiyo msukule mifano yako ya kishamba sana.
CCM ndipo chimbo la mbumbumbu vilaza wote ndiyo maana wakampa Tenda ya mabilioni Le mutuz na cyprian Musiba kuwatetea mitandaoni, wangekuwa ni wajanja wasingeweza kuingia kwenye huo mtego wa kuliwa pesa zao na watu kama Le mutuz kubwa jinga asiye na vyeti licha ya kukaa hapa marekani miaka kibao akigoma kwenda shule.CCM haina misukule bwashee utupishe kaa huko mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Kwani umeambiwa u dj Ni tusi? Hiyo ni fani yake professional Sasa tatizo liko wapiWewe mbweha ebu ficha ufala wako kwa akili yako finyu unaona DJ ni tusi? hakuna asiye na history huko CCM mbona kibajaji na Msukuma ni darasa la saba lakini CCM huwategemea Bungeni kuliko wabunge wanaojiita wasomi wenye vyeti vya kununua kuunga unga kama akina mwigulu, CCM mnafanya mikusanyiko mingi hata jana mlikusanyika karimjee na waziri mkuu akiwepo, acha kuja na mifano yako ya kishamba
Hongera yako, we stay home but it's important to go out.Kumbe wewe ni wale wanaoishi kwenye grey area, wengine tulishajitoa kwenye hilo.
Huyo mbowe mwenyewe nyumbani kwake kuna li corona ana roho ya kiuaji huyo waandishi Wa habari mtakufa na mi corona na vikamera vyenuChadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
October ifike haraka. Hili lichama la kishetani lisilojali maisha ya watz ila kiki zao za kisiasa lijifie mbaliMaombi ya Chadema hayatakiwi
Huyo DJ na wewe leo mkisema mtoke hadharani muoneshe hatua mlizopiga katika maisha,utaonekana wewe ndiye mwendawazimu!Hata JPM alitoka kushika chaki na sasa ni Rais baada ya kusoma kwa kuunga unga mpaka akafanikiwa!Uliza historia ya Simbachawene,alikuwa konda wa daladala na sasa ni waziri!Leo unaweza kusimama na kusema Simbachawene alikuwa konda au mchunga ng'ombe kabla?Hatuna sifa ya kutukana Kama misukule ya ufipa u dj Ni fani yake professional au nimekosea
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Hakuna kifungu Cha katiba kinachompa uhalali wa uhuni anaoufanyaKatiba ndio inatowa majukumu na kila mtanzania ameruhusiwa na katiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako akikosea sio na wewe ufanye makosa. Sasa nani ni mfano kwa mwenzake. Technology zipo, kwanini zisitumike?
Utakufa wewe kabla CDM haijafa,wenzako wameshatangulia mbele za haki walioitabiria CDM kufa toka 2010!October ifike haraka. Hili lichama la kishetani lisilojali maisha ya watz ila kiki zao za kisiasa lijifie mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana corona kama mbowe ambaye nyumbani kwake corona ipo
Jana waliojikusanya pale karimjee na waziri mkuu hawatakufa na corona?Huyo mbowe mwenyewe nyumbani kwake kuna li corona ana roho ya kiuaji huyo waandishi Wa habari mtakufa na mi corona na vikamera vyenu
Kakiri wazi corona imetembelea nyumbani kwake hicho kiofisi cha chadema mlikipulizia dawa? Nyie chadema mtakufa kwa corona
Ni kweli, lakini kuna ulazima wakati huu wa majanga?Kabla ya hata kusikia nini kilitakwa kuzu gumzwa wamepata public ity kuubwa zaidi hata yale maombi yetu pale KARIMJEE!
All other options,I'm sure, are on the table. But,first,the usual 'double standards' have to/been laid bare
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana FA ni ndugu yake Ummy na kutwa yupo kwa Ummy acheni hizo mikusanyiko ya CCM ndiyo ilipeleka corona TBCHana corona kama mbowe ambaye nyumbani kwake corona ipo