Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Wanazuia Mbowe asizungumze je, wameshajua anataka Kuongea nini? Ndiyo maana nazichukia mno Siasa za sasa za Tanzania.
Kinachoogopwa ni corona lake mbowe lilloko nyumbani kwake asije ambukiza wengine
 
Kwani hawajui Basi! Sababu ni wahuni wanatafuta kiki ya kisiasa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Kwani hawajui Basi! Sababu ni wahuni wanatafuta kiki ya kisiasa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Ule mikusanyiko wa CCM pale karimjee jana ulikuwa wa kihuni kutafuta kiki za kisiasa?
 
Kwa hatua zipi alizopiga atakacho nizidi ni kula ruzuku na uenyekiti wake wa kudumu tu hakuna kingine alichonizidi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
OMG, ni wewe tena umekuja kwa style hii?
Yaani hujui kuwa mbowe alikuwa in isolation kwa siku 14, na aka test negative. Na pia hujui kuwa huyo mtoto wake hawezi kuruhusiwa kurudi nyumbani bila kuwa tested negative.
Poor you, kwa akili yako serikali inaweza kumwacha mbowe akiwa positive aendelee tu kuambukiza watu? Really?
Wewe siyo Yehodaya wa JF ninayemfahamu, labda kuna mtu anatumia hii ID yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jidanganye hivyo hivyo.
Halafu uje usome mchango huu baada ya October. Watanzania hawawezi kuchagua watu ambao ni mabingwa wa vurugu,matusi na kujiona badala ya kutatua shida za wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Walisema hivyo hivyo kitambo sana,ila kila baada ya miaka 5 ndio chama kinazidi kuungwa mkono na wananchi!Hizi porojo hatujaanza kuzisikia leo JF!Au tukufukulie nyuzi kama hizo za mwaka 2008/2009!Waulize akina Lizaboni na akina Mzee mwanakijji!
 
Hana corona kama mbowe ambaye nyumbani kwake corona ipo
[emoji23][emoji1787][emoji2960] ummy ni waziri wa afya Sasa mbowe ni waziri wa nini labda wa misukule ya ufipa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Majaliwa, Ummy na Makonda mbona hawajizuii kukutanisha na kukusanya watu?
Itakuwa akili yako ni chongo inayoona upande mmoja tu! Njoo diamond jubilee huku uone nyomi!
Hawana corona na hawajawekwa karantini kama mbowe na familia yake huwezi fananisha mgonjwa Wa corona na MTU mzima Ummy,majaliwa na makonda
 
Kenya wametuonya vya kutosha tutakuwa kama itali wenye dhambi hawasikilizwi na mungu,maombi yatafanywa na wacha mungu tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji1787][emoji2960] ummy ni waziri wa afya Sasa mbowe ni waziri wa nini labda wa misukule ya ufipa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Wewe msukule kaa kimya uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho hii mifano yako ya kijuha bakia nayo huko gheto kwa Daud Bashite ambaye huongea bila kujali waziri wa Afya wala waziri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…