Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Wanazuia Mbowe asizungumze je, wameshajua anataka Kuongea nini? Ndiyo maana nazichukia mno Siasa za sasa za Tanzania.
Kinachoogopwa ni corona lake mbowe lilloko nyumbani kwake asije ambukiza wengine
 
Hili la kutokuwepo Kwa mkutano huu, mbona hata wao Chadema walijua tangu hata ya maazimio yenyewe,

Hivi, Serikari si ndo ilitanfazo kuondoa semina, mikutano na misongamano, Ispokuwa mikutano ya kidini nayo pia iwe ni Kwa watu wachaache Sana,

Iweje sasa Wao Chadema wavunje Hilo katazo ambalo hata mwezi mmoja bado

Au ndo kila kitu ni siasa, kuvunja kanuni ni siasa, kuvunja Sheria ni siasa, kuvunja utaratibu ni siasa, Okey, waendelee kuosoma maskitiko yetu hapa
Kwani hawajui Basi! Sababu ni wahuni wanatafuta kiki ya kisiasa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Kwani hawajui Basi! Sababu ni wahuni wanatafuta kiki ya kisiasa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Ule mikusanyiko wa CCM pale karimjee jana ulikuwa wa kihuni kutafuta kiki za kisiasa?
 
Huyo DJ na wewe leo mkisema mtoke hadharani muoneshe hatua mlizopiga katika maisha,utaonekana wewe ndiye mwendawazimu!Hata JPM alitoka kushika chaki na sasa ni Rais baada ya kusoma kwa kuunga unga mpaka akafanikiwa!Uliza historia ya Simbachawene,alikuwa konda wa daladala na sasa ni waziri!Leo unaweza kusimama na kusema Simbachawene alikuwa konda au mchunga ng'ombe kabla?
Endeleeni kupuyanga!
Kwa hatua zipi alizopiga atakacho nizidi ni kula ruzuku na uenyekiti wake wa kudumu tu hakuna kingine alichonizidi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Huyo mbowe mwenyewe nyumbani kwake kuna li corona ana roho ya kiuaji huyo waandishi Wa habari mtakufa na mi corona na vikamera vyenu
Kakiri wazi corona imetembelea nyumbani kwake hicho kiofisi cha chadema mlikipulizia dawa? Nyie chadema mtakufa kwa corona
OMG, ni wewe tena umekuja kwa style hii?
Yaani hujui kuwa mbowe alikuwa in isolation kwa siku 14, na aka test negative. Na pia hujui kuwa huyo mtoto wake hawezi kuruhusiwa kurudi nyumbani bila kuwa tested negative.
Poor you, kwa akili yako serikali inaweza kumwacha mbowe akiwa positive aendelee tu kuambukiza watu? Really?
Wewe siyo Yehodaya wa JF ninayemfahamu, labda kuna mtu anatumia hii ID yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jidanganye hivyo hivyo.
Halafu uje usome mchango huu baada ya October. Watanzania hawawezi kuchagua watu ambao ni mabingwa wa vurugu,matusi na kujiona badala ya kutatua shida za wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Walisema hivyo hivyo kitambo sana,ila kila baada ya miaka 5 ndio chama kinazidi kuungwa mkono na wananchi!Hizi porojo hatujaanza kuzisikia leo JF!Au tukufukulie nyuzi kama hizo za mwaka 2008/2009!Waulize akina Lizaboni na akina Mzee mwanakijji!
 
Hana corona kama mbowe ambaye nyumbani kwake corona ipo
[emoji23][emoji1787][emoji2960] ummy ni waziri wa afya Sasa mbowe ni waziri wa nini labda wa misukule ya ufipa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
.
IMG-20200422-WA0113.jpg


Jr[emoji769]
 
Majaliwa, Ummy na Makonda mbona hawajizuii kukutanisha na kukusanya watu?
Itakuwa akili yako ni chongo inayoona upande mmoja tu! Njoo diamond jubilee huku uone nyomi!
Hawana corona na hawajawekwa karantini kama mbowe na familia yake huwezi fananisha mgonjwa Wa corona na MTU mzima Ummy,majaliwa na makonda
 
Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...

Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.

Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter

Kenya wametuonya vya kutosha tutakuwa kama itali wenye dhambi hawasikilizwi na mungu,maombi yatafanywa na wacha mungu tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji1787][emoji2960] ummy ni waziri wa afya Sasa mbowe ni waziri wa nini labda wa misukule ya ufipa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Wewe msukule kaa kimya uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho hii mifano yako ya kijuha bakia nayo huko gheto kwa Daud Bashite ambaye huongea bila kujali waziri wa Afya wala waziri mkuu
 
Back
Top Bottom