Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Katoka karantini unajuaje kama hajakutana tena na mkewe kumkumbatia au mtoto akadaka tena masmbukizi dababu sio rahidi kumtenga MTU na familia Hugo ni corona victim tena current sio Wa kumchukulia kirahirahisi ataua watu wengi Hugo

Hivi hawala yake Joyce mukya Naye alikuwa karantini naye? Kuna chain kaeni mbali na mbowe
 
Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Yaani umewaza kama mimi, kweli kabisa.
 
Hawa Polisi kuna nyakati wanafanya mambo yanayomdhalilisha Mkuu Wa nchi..

Kwani Wakiacha aongee na Wanahabari kuna mtu atakufa?

Huko CCP huwa wanakwenda kusomea Ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
mie ndugu zangu ambao ni polisi nilishafuta wote kwenye simu na sitaki kabisa mawasiliano nao, nimetokea kuwachukia wao mpaka ndugu zangu ambao ni polisi, na wakipiga simu nikajua ni yeye kwa namba nyingine namwambia nitampigia baadae na sipigi
 
Hawa Askari wawe makini wasijetupiwa corona
 
Na wewe keep safe ikiwemo kuvaa barakoa inapobidi.
Masks are useless at protecting you against the virus, but you may have to wear one because it can save lives, but they may not work, but they may be mandatory, but maybe not!
 

Hii nchi haijajaa wajinga kama wewe. Kwa hiyo kwa akili yako unadhani serikali ilimpeleka Mbowe peke yake karantini na family members wengine wakaachwa akiwemo mke wake?
Hivi corona iko kwenye familia ya Mbowe tu?
Chuki yako kwa Mbowe imepofusha macho yako na imevuruga akili yako kiasi kwamba mambo unayoandika humu, najuiliza tena ni wewe kweli?
Unauliza habari za hawara wa Mbowe!?!?
Can't believe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hakuna anachokuzidi. Wewe ndiye unamzidi kwa kushinda humu JF 24/7.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haitatokea nikawa humu 24/7.lazima nigawe muda wa kazi.kulala kupumzika kula na wakuingia humu labda mwenzetu ndio unaeweza kukesha humu kama robot [emoji23][emoji1787][emoji2960]

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Joyce mukya?[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23][emoji1787]

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
mie ndugu zangu ambao ni polisi nilishafuta wote kwenye simu na sitaki kabisa mawasiliano nao, nimetokea kuwachukia wao mpaka ndugu zangu ambao ni polisi, na wakipiga simu nikajua ni yeye kwa namba nyingine namwambia nitampigia baadae na sipigi
Hakuna muhuni anaewapenda polisi hilo liko wazi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Tukikaa sana hatujasumbuana na polisi huwa tunapotea kwenye ramani.

Kwa hiyo ujanja ni kuhakikisha muda wote tunazungumzwa kwamba tumeonewa na polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…