YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Katoka karantini unajuaje kama hajakutana tena na mkewe kumkumbatia au mtoto akadaka tena masmbukizi dababu sio rahidi kumtenga MTU na familia Hugo ni corona victim tena current sio Wa kumchukulia kirahirahisi ataua watu wengi HugoOMG, ni wewe tena umekuja kwa style hii?
Yaani hujui kuwa mbowe alikuwa in isolation kwa siku 14, na aka test negative. Na pia hujui kuwa huyo mtoto wake hawezi kuruhusiwa kurudi nyumbani bila kuwa tested negative.
Poor you, kwa akili yako serikali inaweza kumwacha mbowe akiwa positive aendelee tu kuambukiza watu? Really?
Wewe siyo Yehodaya wa JF ninayemfahamu, labda kuna mtu anatumia hii ID yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawala yake Joyce mukya Naye alikuwa karantini naye? Kuna chain kaeni mbali na mbowe