mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Unafikiri hawajui Kama Kuna you tube shida ya mwenyekiti wao ni lawama anatafuta kiki+lawamaMagwanda nao wanafeli wapi jamani? Mbona kuna YouTube live
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri hawajui Kama Kuna you tube shida ya mwenyekiti wao ni lawama anatafuta kiki+lawamaMagwanda nao wanafeli wapi jamani? Mbona kuna YouTube live
Kabla ya hata kusikia nini kilitakwa kuzu gumzwa wamepata public ity kuubwa zaidi hata yale maombi yetu pale KARIMJEE!Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Mbowe naye ni mzushi tu kama ana nia ya kusema kitu si afanye mkutano kwa njia ya mtandao!Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...
Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.
Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
View attachment 1426348View attachment 1426349View attachment 1426350
Unafikiri anataongea nini ana nini Cha kuongeaWanazuia Mbowe asizungumze je, wameshajua anataka Kuongea nini? Ndiyo maana nazichukia mno Siasa za sasa za Tanzania.
Nashangaa sijui Hawa wahuni vichwa vyao vina niniMnalia kila siku kwamba selikali izuie mikusanyiko sasa nyie mbona mnakusanyana.?
Onesheni mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado DAS unatumia hii ID au umemkaimisha mwingineNimekimbia nikijua ntakuta ata umeandika 'wamenyukwa hadi wakachakaaa[emoji1][emoji28]'.
Makengeza na ng'ombe wake hawana akili mbwa hao. Yaani kipindi kigumu namna hii wanataka kufanya siasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafananisha serikali na hicho kikundi Cha wahuni wawe sawa kweli msukule ni msukule tuMwambie hayo pia Ummy Mwalimu,PM na Makonda!
Haumshangai Waziri Mkuu kule Taifa?Mnalia kila siku kwamba selikali izuie mikusanyiko sasa nyie mbona mnakusanyana.?
Onesheni mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji1787]Washauri wao ndio hawa unaoona wanacoment humu JF, sasa unategemea nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwa wizi wa magariKuna mwanaccm mwenye akili kumzidi Lema mtaje.....Yote majitu ya hovyo machumia tumbo tu
HahahahaUsimfananishe waziri wa afya huyo muhuni
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Ni ajabu hicho kikundi unachokiita cha wahuni kinatambulika na msajili wa vyama vya siasa nchini,lakini ndio kinaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni!Unafananisha serikali na hicho kikundi Cha wahuni wawe sawa kweli msukule ni msukule tu
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Unafikiri anataongea nini ana nini Cha kuongea
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Hivi na nyie mnaotawaliwa na hao unaowaita mataahira baada ya kushindwa kuchimoa hapo mnaitwaje?CCM ni chama cha matahira.
Ndio maana Tanzania ni masikini, itaendelea kuwa masikini kwa sababu ya utahira wa Ccm.
vipi kuhusu ibada?Shida Ni nini? Maana kwa sasa hatutaki mikusanyako.ndo maana hata sasa tunalaani sana mkusanyiko anaotaka kufanya waziri Mkuu dar
Serikali yenu dhaifu na ya kishetani kwa nn haikamati wezi mbwa nyei......Mnashirikiana na wezi na mafisadi ndio maana mnasema hivoLabda kwa wizi wa magari
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Pembezoni mwa burigi
shida iko wapiChadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk