Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Magwanda nao wanafeli wapi jamani? Mbona kuna YouTube live
Unafikiri hawajui Kama Kuna you tube shida ya mwenyekiti wao ni lawama anatafuta kiki+lawama

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Kabla ya hata kusikia nini kilitakwa kuzu gumzwa wamepata public ity kuubwa zaidi hata yale maombi yetu pale KARIMJEE!
All other options,I'm sure, are on the table. But,first,the usual 'double standards' have to/been laid bare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazuia Mbowe asizungumze je, wameshajua anataka Kuongea nini? Ndiyo maana nazichukia mno Siasa za sasa za Tanzania.
Unafikiri anataongea nini ana nini Cha kuongea

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Hakuna raha polisi wa Tanzania wanaisikia kama ile ya kuzuia mikutano au maandamano ya wapinzani! Utawakuta wamejiandaa kweli kweli kama vile wanaenda vitani.

Poleni sana wanasiasa wa upinzani.
 
Unafananisha serikali na hicho kikundi Cha wahuni wawe sawa kweli msukule ni msukule tu

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Ni ajabu hicho kikundi unachokiita cha wahuni kinatambulika na msajili wa vyama vya siasa nchini,lakini ndio kinaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni!
 
Unafikiri anataongea nini ana nini Cha kuongea

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk

Kwani pamoja na Yeye kuwa Mpinzani akiongelea yahusuyo COVID-19 hawezi kuwa Msaada Kwako, Kwangu na kwa Wengine?
 
CCM ni chama cha matahira.
Ndio maana Tanzania ni masikini, itaendelea kuwa masikini kwa sababu ya utahira wa Ccm.
Hivi na nyie mnaotawaliwa na hao unaowaita mataahira baada ya kushindwa kuchimoa hapo mnaitwaje?
 
Labda kwa wizi wa magari

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Serikali yenu dhaifu na ya kishetani kwa nn haikamati wezi mbwa nyei......Mnashirikiana na wezi na mafisadi ndio maana mnasema hivo
 
Back
Top Bottom