PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hahaaaa Samia ni juha.

Atufunge wote tu sasa au atuue wote.

Jambo ambalo hawezi. Atakufa kifo kibaya sana huyo mwendawazimu.

*** you 🖕 Samia.

Huyu Mama sijui sna mpango gani na hii nchi? Kwa kweli inawezekana kabisa ishauzwa na wenye nchi wanatafuta jinsi ya kuingia.
 
Hapa ninachokiona wateuliwa wanapambana kuakikisha anaeteuwa anabaki madarakani maana mteuwa akianguka na wao wameanvuka
 
Hekima hakuna...

Busara hakuna...

Ujinga na upumbavu ndo unaongoza maamuzi na matendo yao..

Mnawaacha waliotumia silaha zao, bunduki kuua watu mnahangaika na watu wasiohusika kwa lolote? Real?

Endeleeni kutokomea kwenye giza la uharibifu na kuangamia kwenu!
 
Kuua waue wao. Kukamata wakamate wao. Alafu mtu kabisa anaona ni solution?
 
Na mbona barua haina sahihi na jina la mwandishi?

Fake News
 
Itakuwa vizuri wakijisalimisha wasilione jua TENA!
 
Bahati mbaya sana kuongozwa na failures, kuanzia huko kwa polisi hadi ofisi kubwa IQ ni ndogo sana, sijui hali itakuwaje kwa namna wanavyoendesha mambo.
 
Serikali haiwezi kushinda Nguvu ya Umma ndo maana juzi jeshi limeingilia kati alafu huyu Rais kajichagua mara ngapi tumeona nguvu ya Umma inaangusha serikali?
uzuri tushawapa ushauri mara nyingi sana si mnajikuta hamskii, kazi kwenu
 
Serikali ipi? au genge la vibaka na wauaji...
Polisi hivi sasa pasipo bunduki na group la wenzake kadhaa anaogopa kutembea uraiani, ndipo tuliofikia, bado kidogo hata akiwa na bunduki atawaogopa raia...

Si siku nyingi...
polisi anamuogopa raia 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…