Raba kali
Member
- Aug 10, 2024
- 67
- 147
Wazee kwema,
Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?.
Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi.
Katika mabishani mawili matatu nikajikuta naparuzana maneno na yule jamaa. Hii ni kawaida sana kwa watu wenye experience ya kutembela nyumba za viongozi wastaafu.
Kilichonikwaza mm ni kuona jamaa hata haki za binadamu hazijui. Katika madai yake anasema haki ya binadam ya msingi ni kuishi na ya pili (ikifuatiwa) ni kula, haki ya tatu alisema kulala. Nikaondoka bila kuaga mana haki za binadam ni darasa la nne au la tatu. Hii inaonesha yule jamaa anaweza kurudia mtihani wa darasa la saba akafeli
Kwa nn serikali inaajiri viande na kuacha madigrii mtaani. Imenifikirisha hasa hata wale wanajeshi waliobaka binti wa yombo hawakuwa na walau idea ya matokeo ytakayowakuta. Yani polisi, jeshi na vyombo vya usalama ni upupu tu.