Polisi ijitafakari, inaajiri vilaza sana

Raba kali

Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
67
Reaction score
147
Wazee kwema,
Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?.

Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi.

Katika mabishani mawili matatu nikajikuta naparuzana maneno na yule jamaa. Hii ni kawaida sana kwa watu wenye experience ya kutembela nyumba za viongozi wastaafu.

Kilichonikwaza mm ni kuona jamaa hata haki za binadamu hazijui. Katika madai yake anasema haki ya binadam ya msingi ni kuishi na ya pili (ikifuatiwa) ni kula, haki ya tatu alisema kulala. Nikaondoka bila kuaga mana haki za binadam ni darasa la nne au la tatu. Hii inaonesha yule jamaa anaweza kurudia mtihani wa darasa la saba akafeli

Kwa nn serikali inaajiri viande na kuacha madigrii mtaani. Imenifikirisha hasa hata wale wanajeshi waliobaka binti wa yombo hawakuwa na walau idea ya matokeo ytakayowakuta. Yani polisi, jeshi na vyombo vya usalama ni upupu tu.
 
Wazee kwema,
Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?.

Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi.

Katika mabishani mawili matatu nikajikuta naparuzana maneno na yule jamaa. Hii ni kawaida sana kwa watu wenye experience ya kutembela nyumba za viongozi wastaafu.

Kilichonikwaza mm ni kuona jamaa hata haki za binadamu hazijui. Katika madai yake anasema haki ya binadam ya msingi ni kuishi na ya pili (ikifuatiwa) ni kula, haki ya tatu alisema kulala. Nikaondoka bila kuaga mana haki za binadam ni darasa la nne au la tatu. Hii inaonesha yule jamaa anaweza kurudia mtihani wa darasa la saba akafeli

Kwa nn serikali inaajiri viande na kuacha madigrii mtaani. Imenifikirisha hasa hata wale wanajeshi waliobaka binti wa yombo hawakuwa na walau idea ya matokeo ytakayowakuta. Yani polisi, jeshi na vyombo vya usalama ni upupu tu... Fffffyuuuu!
Polisi warudie mtihan wa darasa la saba tu, nina uhakika zaidi ya 30% watakaofanya watafeli
 
Hao ndugu wanayo capacity ya kumkumbusha anayewatuhumu kuwa in fact alijiteka.

Watasikiliza wito kujitathmini wenyewe?

To good to be true!
 
Wazee kwema,
Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?.

Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi.

Katika mabishani mawili matatu nikajikuta naparuzana maneno na yule jamaa. Hii ni kawaida sana kwa watu wenye experience ya kutembela nyumba za viongozi wastaafu.

Kilichonikwaza mm ni kuona jamaa hata haki za binadamu hazijui. Katika madai yake anasema haki ya binadam ya msingi ni kuishi na ya pili (ikifuatiwa) ni kula, haki ya tatu alisema kulala. Nikaondoka bila kuaga mana haki za binadam ni darasa la nne au la tatu. Hii inaonesha yule jamaa anaweza kurudia mtihani wa darasa la saba akafeli

Kwa nn serikali inaajiri viande na kuacha madigrii mtaani. Imenifikirisha hasa hata wale wanajeshi waliobaka binti wa yombo hawakuwa na walau idea ya matokeo ytakayowakuta. Yani polisi, jeshi na vyombo vya usalama ni upupu tu... Fffffyuuuu!
Tuachane na masuala ya haki.Hiyo pilau waliyopewa kwa hisani ilikuwa na nyama au kachumbari tu.
NB:Siku nyingine usiumie walinzi au watu usiowapenda wakipewa msosi wale for free.
 
Kula wale mkuu mana choo kinahitaji kuwaona. Suala hapa kwa nn polisi wanaajiri viande mzee? Au na wewe poti imekuuma?
Mimi mbeba mizigo ya wasafiri stendi wapi na wapi na polisi?Ungewauliza maswali ya kufua yunifomu zao na kung'arisha mabuti.Haki au PGO na polisi havichangamani mkuu.
 
Polisi warudie mtihan wa darasa la saba tu, nina uhakika zaidi ya 30% watakaofanya watafeli
Jambo la kurudia mtihani wa elimu ya ngazi ulizokwishapita usilichukulie poa.

Hata wewe hapo ama degree holder yeyote akiburuzwa darasani na kulambishwa mtihani wa std7 anaweza kufeli kama kawaida.

Mambo yanayoweza mtu kumfelisha yapo mengi, siyo ujinga tu.
 
Mimi mbeba mizigo ya wasafiri stendi wapi na wapi na polisi?Ungewauliza maswali ya kufua yunifomu zao na kung'arisha mabuti.Haki au PGO na polisi havichangamani mkuu.
Ndo washindwe kuwa hata na Common sense. Mtu mzima hata haki za binadamu hazijui? Kula haki? Na wasiokula wamekosa haki yao wakashtaki wapi ili wapate haki yao?
 
Jambo la kurudia mtihani wa elimu ya ngazi ulizokwishapita usilichukulie poa.

Hata wewe hapo ama degree holder yeyote akiburuzwa darasani na kulambishwa mtihani wa std7 anaweza kufeli kama kawaida.

Mambo yanayoweza mtu kumfelisha yapo mengi, siyo ujinga tu.
Sasa kama mtihani wa la saba unafeli, wanao wanaopewa quiz na walimu wao anawsaidiaga nan hapo kwako?
 
Back
Top Bottom