Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

Kusikia kwa kenge ni mpaka damu zitoke puani
 
Hio kampuni si wameingia mikataba na makampuni ya simu yote si wayakamate makampuni ya simu nayo
 
Mbona mimi naona kama jamaa aliweka hela tena 227,000/= ili aweze kulog in ili kutoa pesa, lakini ameletewa tena ujumbe kuwa bado wapo kweny majadiliano na BOT, pesa za wateja zitatolewa kwa pamoja
Usijiroge ukalipia ili kuingia kwenye akaunti yako, mfumo unaruhusu kuweka na sio kutoa pesa. Utalia mara mbili
 
Reactions: Lax
Si nimeona namna ulivyojibu mkuu...umejibu kama ephen_
Haujafuatilia hiyo convo from the beginning, me too yeye na yeye sio mimi, I am a guy and she is a girl. Pale kuna kitu nlikuwa naki clarify ni kiandika kwa kukosea ....this is the only id i have i don't need two id's this is enough
 
Haujafuatilia hiyo convo from the beginning, me too yeye na yeye sio mimi, I am a guy and she is a girl. Pale kuna kitu nlikuwa naki clarify ni kiandika kwa kukosea ....this is the only id i have i don't need two id's this is enough
Okay...gotcha🥂
 
Kuna story nikihadithia mtacheka sana!
Kuna kanisa la walokole wamepigwa kuanzia mchungaji hadi waumini.
Walitangaziwa kanisani🤣
😂 safi kabisa ila kama utaratibu wao ni kushirikishana fursa ni jambo zuri, shida ni kuipokea fursa na kuifanyia kazi bila kufanya tathmini
 
Yahitaji moyo mgumu kujilipua kuweka hela kwenye fursa za hivyo, kuna jamaa yangu sijui ana hali gani kwa mwenendo huu, nae mtaji wa duka aliweka humo LBL.

Vipi mkuu ulishapona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…