Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

Ukweli serikali ina mambo mengi ya msingi ya kufanya,
Huu utapeli sio wa kwanza, kwamba watu hawakuwa na uelewa.
kuna
D9,
SCATEC,
KALYNDA,
KIJIJI
QNET
JATU
VANILLA
ALLIANCE GLOBAL
FIC
NK NK

KUNA KUJIFUNZA KWA KUSIKIA, NA KUJIFUNZA KWA KUONA/MATUKIO.
UCHAGUZI NI WAKO
Kusikia kwa kenge ni mpaka damu zitoke puani
 
Hio kampuni si wameingia mikataba na makampuni ya simu yote si wayakamate makampuni ya simu nayo
 
Mbona mimi naona kama jamaa aliweka hela tena 227,000/= ili aweze kulog in ili kutoa pesa, lakini ameletewa tena ujumbe kuwa bado wapo kweny majadiliano na BOT, pesa za wateja zitatolewa kwa pamoja
Usijiroge ukalipia ili kuingia kwenye akaunti yako, mfumo unaruhusu kuweka na sio kutoa pesa. Utalia mara mbili
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Si nimeona namna ulivyojibu mkuu...umejibu kama ephen_
Haujafuatilia hiyo convo from the beginning, me too yeye na yeye sio mimi, I am a guy and she is a girl. Pale kuna kitu nlikuwa naki clarify ni kiandika kwa kukosea ....this is the only id i have i don't need two id's this is enough
 
Haujafuatilia hiyo convo from the beginning, me too yeye na yeye sio mimi, I am a guy and she is a girl. Pale kuna kitu nlikuwa naki clarify ni kiandika kwa kukosea ....this is the only id i have i don't need two id's this is enough
Okay...gotcha🥂
 
Kuna story nikihadithia mtacheka sana!
Kuna kanisa la walokole wamepigwa kuanzia mchungaji hadi waumini.
Walitangaziwa kanisani🤣
😂 safi kabisa ila kama utaratibu wao ni kushirikishana fursa ni jambo zuri, shida ni kuipokea fursa na kuifanyia kazi bila kufanya tathmini
 
Binafsi sisi tuna group letu la graduate tulio soma nao tangia mwezi wa kumi na moja Kama sikosei mwaka Jana...wakajiunga kwa 540k na sio Siri dada yeye kavuna zaidi ya 3m

So sisi wengine ni wagumu Sana kuingia kwenye izo ponze scheme maana kipindi Cha KALINDYA pia nilipata ushawishi mkubwa Ila Mimi nilikataa na haikupita muda watu wakaumia..

Mimi sio muumini wa hizi mambo Ila mfano ukiwa mjanja ukajiunga mapema unanufaika Ila Mimi siwezi cheza Wala kujiunga na vitu Kama hivi Bora nikalime Mananasi ikwiriri huko rufiji..
Yahitaji moyo mgumu kujilipua kuweka hela kwenye fursa za hivyo, kuna jamaa yangu sijui ana hali gani kwa mwenendo huu, nae mtaji wa duka aliweka humo LBL.

Vipi mkuu ulishapona?
 
Back
Top Bottom