TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Jana niliona uzi wa trail 17 na magari ya VX Sasa hivi siiuoni. Uzi ulikuwa unastua sana. Mpaka nikakumbuka suala la magari liwe la watu binafsi mahali pa kazi!Tafsiri ya "sisi" ndio inayoleta taharuki hapo. Nafikiri alimaanisha ile "CARTEL" inayotafuna nchi kwa kupiga zile B ndefu ndefu anazolalamikiaga bwana CAG na si nchi ama taifa kwa ujumla.
Kwaio report ni TATEPA.Umoja wa mataifa hauwezi kukubaliana na hiyo ripoti niko pale!
Makalio labda ya babaako mzazi aliyekukojoa!Taarifa ya kuwafurahisha wendawazimu na waliotolewa ubongo wanaowaza kwa kutumia makalio...