Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

Ndio! Hawa ndio askari tunaowataka katika nchi yetu. Anajua nini maana ya uzalendo. Sio uzalendo wa maneno vitendo zero! Huyo ameakisi kilichopo moyoni. Mungu akubariki Kamanda.

Jamii inataka polisi wa aina hii,serikali ya ccm inataka polisi tulio nao[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
 
Hii ndio maana ya Utu.
 
Ulinzi na usalama wa raia.
Katimiza jukumu la msingi na nadhani huenda akaibua mengi yanayomsibu huyo mtoto.
 
Nikadhani unataka maelekezo ya kina ili umpeleke kwa unayempigiaga domo kila dakika hapa?
 
Kazi ya ustawi ni Nini?

Polisi hana mipaka katika mambo yote yanayohusika na usalama wa mwananchi.

Hatutegemei jambo linalomhusu afisa ustawi wa jamii limahinde polisi,ndio sababu kuna dawati la jinsia.
 
Umeongea kwa uchungu sana Mkuu...wamo humu WANAPITA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…