Mhuuuuuu genge la wachawi,Kama wenyewe kwa wenyewe wanauana, wataona shida kumwua asiye mwanaCCM?
Duh!..WanaCCM hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Umeniwahi sana, hii ilisemwa na jkWanaCCM hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Kwahiyo Comrade Membe anahusika au ni Agenda SettingHiyo ni jinai. Naona Membe anazidi kujimaliza mwenyewe. Kweli mzoea vya kunyonga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwete aliyajua haya mapemaUmeniwahi sana, hii ilisemwa na jk
Usisahau aisee.Ntakuja kuwapa kisa kilipoanzia hadi kuwatoa Wizaran kina Emanuel Nchimbi na Shamsi Vuai pamoja na Hamis Kagasheki kwny Operation Tokomeza ambao wote walikuwa team Mamvi
Duh!.. kuwindana hukuMangula kalazwa siku kadhaa lakin taarifa ya kuwekewa sumu imetolewa masaa machache baada ya Mzee wa Mtama kurudi Nchini
Na yawezekana ni uongo, isipokuwa kuna jambo linapitishwa/ kuhamisha mijadala, mambosasa si wa kuaminiwa.Kwa hiyo polisi wamekuwa madaktati? Ni CCM so whatever happens. Tutagurahi9...good riddance
Kwamba Membe ndiye Mhusika ?Hiyo ni jinai. Naona Membe anazidi kujimaliza mwenyewe. Kweli mzoea vya kunyonga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yawezekana ni uongo, isipokuwa kuna jambo linapitishwa/ kuhamisha mijadala, mambosasa si wa kuaminiwa.