Nipo Rebeca,sikuwa tu active ila kwa sasa ninafurahi kushiriki tena mijadala hapa na nafurahi kuwakuta.Michelle upo? mbona huonekani siku hizi? au una ID nyingine??😉
Ikitokea boss wake ananiiii
Mla nyama ya binadamu huwa haachi
Inaijua methali isemayo kulia kwake ni kicheko kwetu ?MaCCM yanataka kuuana
Urais sio makalio wewe kwanba kila mtu ana uwezo wa kuyapataHahahaha, bora ulivyompa makavu, yaani wanachama wa CCM sijui wapoje anapotajwa Membe utawaona hao wanakuja juu ukushambulia, sipati picha Membe akija kuukwaa urais hawa vijana wataweka wapi sura zao
Haaaaaaa haya bana kwahiyo Mbembe anatakiwa kujibu"Nakwenda kusikojulikana kula chakula kitamu na mke wangu!"
RIP Dr Omar Ally Juma..
Haaaaaaa haya bana kwahiyo Mbembe anatakiwa kujibu
Execution"....litachukua hatua kali kwa mtu yeyote atakaye bainika kupanga,......." napata shida kuelewa hii "statement" kwani zaidi ya kukamata, kuchunguza na kumpeleka mtuhumiwa mahakamani hatua kali zinazongunzwaga na Jeshi letu ni zipi kwa mujibu wa Katiba?
Hivi kingunge aliuwawa na na nini vile?Muhimu kujua aina ya sumu na inachukua muda gani kuwa effective,then watatueleza alikoipata na wahusika aliokuwa nao muda huo. Mazingira yanataka kulazimisha adui mkubwa wa wazi na aliyedhurika na maamuzi ya kikao ila wasisahau jamaa ana akili na utulivu wa kutokukurupuka na amelelewa na mfumo ambao una watu wake,atawaumbua mchana kweupe.