Kwani ni mara ngapi polisi wanatoa taarifa za uchunguzi uliofanywa na madaktari? Hata mtu akifa katika mazingira ya kutatanisha anayetoa taarifa ni polisi ila postmortem inafanywa na daktari.Jeshi siku hizi linabaini sumu ndani mwili wa mnyama, makubwa haya,
Hamtutoi kwenye ajenda ya kudai time huru
Wala hata haina connection labda waamue kutumia dola kama alivyosema bashiruKama naona movie ikitengenezwa bwana membe awekwe
Mmmh wote waliokuwa kwenye ule mkutano inapaswa kuwa washukiwa wa kwanza lzm kuna mmoja alihusika
Dogo polisi wanaleta blabla tu. Kuna mahakama ambako kuthibitisha wataiwa madaktari, siyo polisiKwani ni mara ngapi polisi wanatoa taarifa za uchunguzi uliofanywa na madaktari? Hata mtu akifa katika mazingira ya kutatanisha anayetoa taarifa ni polisi ila postmortem inafanywa na daktari.
πππππHuyu mzee alidokoa ubwabwa uliokuwa umeandaliwa kwa ajili ya kachero mbobezi.
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vikiripoti kuwa Mangula amekutwa na sumu kwenye damu yake.
Huu ni mtego mkubwa kwa yule anayejiita ni kachero nguli na anawatu ndani ya chama zake cha zamani.
Yai linaweza likampasukia mikononi
Kuna mtu anatafutwa hapo!
Je ni yule aliyesema ana watu wake kwenye system?
Utabiri: Kuna mhuni atadakwa,atakiri kosa na kumtaja aliyemtuma then mtu anasoteshwa!
Kwisha Habari!
Mzee Mwanakijiji, mleta taarifa yupo sawa kwa mujibu wa mtaalam kamanda afande Mambosasa.Kichwa Cha habari limekaa vibaya sana...Nusura motor rambirambi..
Hiyo ni jinai. Naona Membe anazidi kujimaliza mwenyewe. Kweli mzoea vya kunyonga..
Sent using Jamii Forums mobile app