Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

RTO hapa kakosea kabisa, 85 km/hr alafu Bus la timu ya Magereza ilikuwa 90km/hr na kawashika, hapa busara haijatumika kabisa, huyo RTO naamini atatumbuliwa siku 1 au 2 zijazo, hao ni askari wenzake hakutakiwa kufanya hivyo.
 
Nakubaliana na wewe.ata ukiwa na rafiki akawa police ana badilika kabsaa hili nme lishuhudia kwa rafiki zangu wawili. Kazi ya kishenzi sana hii

O
Mimi ni mtoto wa shangazi kabisa wa toka nitoke na baba yangu na nimesoma nae kuanzia la kwanza hadi form4 na tulipanga pamoja geto. Si laana ikamwangukia akaenda upolice aisee ile kazi siyo asee jamaa kawa mwingine kabisa
sio kwamba namuonea wivu maana hadi sasa hana hata nyumba nk na tunakutana kwenye misiba tu. na hapendeki kwa ndg wengi tu hafai
 
siku zote wanashindwaga polisi. wakienda kuchukua mahabusu huko nasikia huwa wanatia huruma, wanawekwa bench hadi prison ajisikie vizuri ndio awaondoe. hata hawakutakiwa kufika huko, kwa sababu huyo polisi anayemkamata askari mwenzake, kwani wao polisi na magari yao yale hawaoverspeed? TRO, DTO au RCO au mkuu wake wa kituo angezidisha speed angemkamata? sasa prison nao si wana haraka kwenda kuhudumia wale watu kule ndani?
 
1733596310932.png

1733596360291.png
 
Polisi wenye AKILI anzeni haraka sana kuhamia wizara nyingine,mtanishukuru siku moja,nasema hivyo kwa sababu hakuna mtu mwenye Akili TIMAMU alielihitaji jeshi la polisi hapa Tanzania kwa sasa,kama ww ni polisi king'ang'anizi baki humo,kumbuka baba wa Taifa aliwahi futa jeshi kumbe ni kazi rahisi sana.Narudia tena hakuna mtu mwenye AKILI anayelihitaji jeshi la Polisi hadi sasa.Kazi kwenu mmekuwa kero kwa kila kiumbe cha nchi hii shauri yenu,ipo siku mtalia na kusaga meno na hamtapata msaada.
Mbona nafasi za police zikitangazwa wanajazana humu kutaka kujua namna ya kuomba? Mbona huko CCP kila leo vijana wanaenda mafunzo?
 
Nipende kutoa pongezi kwa Mama yetu kwa kutumia intelijensia kuwakamata Tanzania prisons kwa kosa la kuzidisha spidi. Pia nipende kuwapongeza polisi na rto kwa kutuma silaha za moto na mabomu kwa Tanzania prisons. Nipende kuzisihi na kuziomba taasisi nyingine zikae kwa utulivu kwani kila mtu atafikia na madhira haya.
 
RTO hapa kakosea kabisa, 85 km/hr alafu Bus la timu ya Magereza ilikuwa 90km/hr na kawashika, hapa busara haijatumika kabisa, huyo RTO naamini atatumbuliwa siku 1 au 2 zijazo, hao ni askari wenzake hakutakiwa kufanya hivyo.
Sheria inasemaje??
 
Back
Top Bottom