Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
FFU wachumbaKikosi Maalum Cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKGM) vs (FFU) Fanya Fujo Uone Field Force Unit
Tujue nani mwamba Magereza vs Polisi kupitia vikosi vyao maalum KMKGM vs FFU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FFU wachumbaKikosi Maalum Cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKGM) vs (FFU) Fanya Fujo Uone Field Force Unit
Tujue nani mwamba Magereza vs Polisi kupitia vikosi vyao maalum KMKGM vs FFU
OUkiwa police tyr ushakuwa na laana hadi kufa kwako. Hii kazi sio ya kumshauri mwanao akafanye heri
mtafutie issue. POLICE NI LAANA
Magereza sio product ya TPS huko CCP . Hao ni wa Kiwira.Sasa wote si polisi? Na wote ni product ya CCP 😂😂
Kuna agenda zinasukwa kwa kas sana kuelekea 2025...
Wazir wa Utumish kaa chonjo 😂
Sasa wote si polisi? Na wote ni product ya CCP 😂😂
Kuna agenda zinasukwa kwa kas sana kuelekea 2025...
Wazir wa Utumish kaa chonjo 😂
Mimi ni mtoto wa shangazi kabisa wa toka nitoke na baba yangu na nimesoma nae kuanzia la kwanza hadi form4 na tulipanga pamoja geto. Si laana ikamwangukia akaenda upolice aisee ile kazi siyo asee jamaa kawa mwingine kabisaNakubaliana na wewe.ata ukiwa na rafiki akawa police ana badilika kabsaa hili nme lishuhudia kwa rafiki zangu wawili. Kazi ya kishenzi sana hii
O
Mbona nafasi za police zikitangazwa wanajazana humu kutaka kujua namna ya kuomba? Mbona huko CCP kila leo vijana wanaenda mafunzo?Polisi wenye AKILI anzeni haraka sana kuhamia wizara nyingine,mtanishukuru siku moja,nasema hivyo kwa sababu hakuna mtu mwenye Akili TIMAMU alielihitaji jeshi la polisi hapa Tanzania kwa sasa,kama ww ni polisi king'ang'anizi baki humo,kumbuka baba wa Taifa aliwahi futa jeshi kumbe ni kazi rahisi sana.Narudia tena hakuna mtu mwenye AKILI anayelihitaji jeshi la Polisi hadi sasa.Kazi kwenu mmekuwa kero kwa kila kiumbe cha nchi hii shauri yenu,ipo siku mtalia na kusaga meno na hamtapata msaada.
Hahahhahahaaa lini sasa??Kuna siku kila mmoja atatoa mlio wake
Sheria inasemaje??RTO hapa kakosea kabisa, 85 km/hr alafu Bus la timu ya Magereza ilikuwa 90km/hr na kawashika, hapa busara haijatumika kabisa, huyo RTO naamini atatumbuliwa siku 1 au 2 zijazo, hao ni askari wenzake hakutakiwa kufanya hivyo.