Hii post imepiga bomu Chamwino.Wamefurahia Mzizi Mkuu wa Korosho zao Kusombwa na Maji ya Mto Rufiji na kwamba huenda Korosho zao za Msimu ujao si tu zikawa nyingi bali pia watapata mno Faida ya Kimauzo kupitia Kangomba Wao waliowazoea.
Mi siyo chadema. Nasema ukweli tu.chadema mpoje sijui yani nawaona kama mmechanganyikiwa.
Kuna makabila bila kula na kunywa pombe msibani ni sawa na kutokuwepo msiba. Wasukuma, Wanyakyusa, Wafipa nk bila pombe msibani hadhi ya msiba haitaonekana, Wajaluo ni muziki, kula na kunywa mpaka tunatawanyika. Wati watacheza Katitu juu ya kaburi la marehemu mpaka litakuwa flat. Sasa Leo unamkamata mwananchi wa Katavi na RPC anatangaza si aibu hii?Wanaonea wananchi wa kawaida wanaoomboleza kwa kunywa bia. Wanaovunja makosa ya mtandao wanawaacha.
😅😅 hua na enjoy Sana nikiona wapinzani wa jadi mnabishana .Unajua dress code ya msiba au unakimbilia matusi tu.
Hata kama unamchukia mtu akishakufa hakuna sababu ya kushangilia
Kwa taarifa yako unaowaona ni CHADEMA wengine ni CCM tena wenye nyadhifa kubwa tu chamani. Hawataki na hawakuwahi kutaka wala kushabikia ukatili wa marehemu.chadema mpoje sijui yani nawaona kama mmechanganyikiwa.
Safi sana, "mbona Idd Amin alikufa tukafurahi na hatukukamatwa?" Mwisho wa kunukuu.Weka hapa ushahidi wa kisheria wametenda kosa gani kufurahia kifo cha marehemu?
Mbona Idd Aminin alikufa tukafurahi na hatukukamatwa?
Wewe unaejua tuambie dress code ya msiba ni ipi? Ambayo imeidhinishwa kisheria mpaka mama wa huko Mtwara anakamatwa.😅😅 hua na enjoy Sana nikiona wapinzani wa jadi mnabishana .
Yaani hakuna anaekubali kushndwa ..
Umenifurahisha Sana mkuu kwamba hajui dress code ya msiba 😅😅 mpaka avae Dera la Chama pinzani
Wewe unaejua tuambie dress code ya msiba ni ipi? Ambayo imeidhinishwa kisheria mpaka mama wa huko Mtwara anakamatwa.😅😅 hua na enjoy Sana nikiona wapinzani wa jadi mnabishana .
Yaani hakuna anaekubali kushndwa ..
Umenifurahisha Sana mkuu kwamba hajui dress code ya msiba 😅😅 mpaka avae Dera la Chama pinzani
Safi sana, "mbona Idd Amin alikufa tukafurahi na hatukukamatwa?" Mwisho wa kunukuu.
Wewe unaejua tuambie dress code ya msiba ni ipi? Ambayo imeidhinishwa kisheria mpaka mama wa huko Mtwara anakamatwa?😅😅 hua na enjoy Sana nikiona wapinzani wa jadi mnabishana .
Yaani hakuna anaekubali kushndwa ..
Umenifurahisha Sana mkuu kwamba hajui dress code ya msiba 😅😅 mpaka avae Dera la Chama pinzani
Kila mbwa ana siku yakeMnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.
Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Tuendelee kuomboleza kwanza hadi tumalize mazishi.Lini niliegemea itikadi? Fuatilia.
Aisee...sikujuamaria sarungi na Fatma karume ni watu Wa system
Acha upumbavu. Ni kosa kwa sheria ipi ya mtandao.
Yaani eti ni sheria kwamba kila mtu akifa lazima watu wahuzunike?
Huu ni ujinga wa hali ya juu.
maria sarungi na Fatma karume ni watu Wa system
Polisi ndio wanatakiwa waanze na weweWewe ni pumbavu? Mjinga? Au mpuuzi?
Porojo hiziHakuna kosa la kisheria hapo, bali kuna kosa la kijamii. Katika desturi zetu, siyo jambo linalopatana na akili kufanya sherehe kwa sababu mtu fulani kafa. Kiutu na kiubinadamu watu watakushangaa kwa tendo hilo.
Lkn kitu cha kukumbuka, not everything that legally endorsed to be right, is morally right.
Acha ujinga wewe pimbi,soma kifungu cha 23 cha sheria ya makosa ya mtandao. Utapata majibu. Mbona kuna kijana Iringa alikamatwa.Hakuna kosa la kisheria hapo, bali kuna kosa la kijamii. Katika desturi zetu, siyo jambo linalopatana na akili kufanya sherehe kwa sababu mtu fulani kafa. Kiutu na kiubinadamu watu watakushangaa kwa tendo hilo.
Lkn kitu cha kukumbuka, not everything that legally endorsed to be right, is morally right.