Haki ya kutoa maoni kikatiba ndio upost kukashfu kifo cha kiongozi wa nchi? Zipo lugha za staha zinazotakiwa.Kuna watu hii nchi wana kinga ...usiwafuate na pia ukiangalia uhalisia binafsi naoana wanatumia haki yao kikatiba kutoa maoni yao...hawajachagua kua wanafki
Cheers nashushia bia na mbuzi hapa Open Bar zilizokuwa zikifungwa mchanaUkiambiwa huna akili unachukia?
Twita imefungwa? Acha uroho wa bia na nyama.Cheers nashushia bia na mbuzi hapa Open Bar zilizokuwa zikifungwa mchana
kweli mm sina akili, ila nikikumbuka umeme haukukatwa miaka yote ya Magufuli
machozi yananitoka nikimeza.
Basi acha akapumzike watatufungulia Tweeter na magazeti kibao tulikosa pa kusemea
kweli hatutamsahau huyu jamaa kwa miaka iliyobaki ya uhai wetu hasa tunapodrive kusini kaskazini kwenye lami
Mkuu,hao ndio mabumunda na misukule iliyokuwa na kazi ya kusifu na kuabudu.Civil war from twitter?
Acha ujinga wewe pimbi,soma kifungu cha 23 cha sheria ya makosa ya mtandao. Utapata majibu. Mbona kuna kijana Iringa alikamatwa.
usini quote wrong mkuu Mimi simo kwenye izo Vita zenu za kbsa..mi naenjoy t mijadala yenu ya hakuna anaekubali kushindwa..😅,,..Wewe unaejua tuambie dress code ya msiba ni ipi? Ambayo imeidhinishwa kisheria mpaka mama wa huko Mtwara anakamatwa.
Are you trying to protect them against public rage? Au umeona ujiandikie kwa vile unavyoona wewe (umetoa mtazamo)
IDD AMIN hakufa kipindi cha vita alikufa 2003 kipindi anakufa hakuna aliyekua ana muda wa kufatalia habari zake acha story za maskaniWeka hapa ushahidi wa kisheria wametenda kosa gani kufurahia kifo cha marehemu?
Mbona Idd Aminin alikufa tukafurahi na hatukukamatwa?
Wapi nimeandika Idd Amini alikufa kipindi cha vita? Angekufa kipindi hicho nilikuwa sijazaliwa na singeweza kujua. Ingekuwa kama KenyattaIDD AMIN hakufa kipindi cha vita alikufa 2003 kipindi anakufa hakuna aliyekua ana muda wa kufatalia habari zake acha story za maskani
Hizi akili sijui munatoaga wapi kwamba mtu akiwapinga inakua anatumiwa na wazungu??Hakuna mtu aliyekamatwa kwa kuvaa dela la chadema, hacheni kuzusha uongo.
BTW Maria na Fatma walishakimbiaga nchi kitambo hawapo nchini. Wapo wanatumika na wazungu huko kutuzulia taaruki ili tuingie kwenye civil war.
Mbona musiba aliwatukana maraisi wastaafu na hakukamatwa??? Kwenda zako mburura wewe. Huyo marehemu mwenyewe alidukua simulates za watu mbona hukusema????Kwenda zako huko, ukiwa mtu wa sisitimu ndio ukifanya kosa usikamatwe?
Wanalipwa na wazungu so jibu unalo.Hizi akili sijui munatoaga wapi kwamba mtu akiwapinga inakua anatumiwa na wazungu??
Wapo sana mjini, tunapishana nao tu daily. Kwani wamekosea wapi? Mbona wako smart sana kwenye ku present hoja zao?Hakuna mtu aliyekamatwa kwa kuvaa dela la chadema, hacheni kuzusha uongo.
BTW Maria na Fatma walishakimbiaga nchi kitambo hawapo nchini. Wapo wanatumika na wazungu huko kutuzulia taaruki ili tuingie kwenye civil war.
SureWapo sana mjini, tunapishana nao tu daily. Kwani wamekosea wapi? Mbona wako smart sana kwenye ku present hoja zao?