Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

Kuna watu hii nchi wana kinga ...usiwafuate na pia ukiangalia uhalisia binafsi naoana wanatumia haki yao kikatiba kutoa maoni yao...hawajachagua kua wanafki
Haki ya kutoa maoni kikatiba ndio upost kukashfu kifo cha kiongozi wa nchi? Zipo lugha za staha zinazotakiwa.
 
Ukiambiwa huna akili unachukia?
Cheers nashushia bia na mbuzi hapa Open Bar zilizokuwa zikifungwa mchana
kweli mm sina akili, ila nikikumbuka umeme haukukatwa miaka yote ya Magufuli
machozi yananitoka nikimeza nyama choma
Basi acha akapumzike watatufungulia Tweeter na magazeti kibao tulikosa pa kusemea
kweli hatutamsahau huyu jamaa kwa miaka iliyobaki ya uhai wetu hasa tunapodrive kusini kaskazini kwenye lami
 
Cheers nashushia bia na mbuzi hapa Open Bar zilizokuwa zikifungwa mchana
kweli mm sina akili, ila nikikumbuka umeme haukukatwa miaka yote ya Magufuli
machozi yananitoka nikimeza.
Basi acha akapumzike watatufungulia Tweeter na magazeti kibao tulikosa pa kusemea
kweli hatutamsahau huyu jamaa kwa miaka iliyobaki ya uhai wetu hasa tunapodrive kusini kaskazini kwenye lami
Twita imefungwa? Acha uroho wa bia na nyama.
 
Acha ujinga wewe pimbi,soma kifungu cha 23 cha sheria ya makosa ya mtandao. Utapata majibu. Mbona kuna kijana Iringa alikamatwa.

Bro nimeelewa vile unavyohisi. Kumtukana rais au mtu mwingine si jambo sawa.
Lkn niseme kwa ufupi hao wanajaribu kumuua JPM hawataweza. Ataendelea kuwa hai daima dawamu. Hilo hamna mtu anayebisha. Amekuwa MAARUFU sasa kuliko alivyokuwa hai. May God bless John Pombe Magufuli.
 
Mbona husemi wamkate Cyprian Musiba wa Jamvi la Habari , kwa kusema Prof Sarungi amefariki ilhali ni uongo?
 
Wewe unaejua tuambie dress code ya msiba ni ipi? Ambayo imeidhinishwa kisheria mpaka mama wa huko Mtwara anakamatwa.
usini quote wrong mkuu Mimi simo kwenye izo Vita zenu za kbsa..mi naenjoy t mijadala yenu ya hakuna anaekubali kushindwa..😅,,..
Sina dna ya upande wowote..
 
Siku zote mimi huwa naandika Mtazamo wangu sio wa mtu mwingine
Are you trying to protect them against public rage? Au umeona ujiandikie kwa vile unavyoona wewe (umetoa mtazamo)
 
Tafuta ugali wako tu, kuna vitu havi make sense unaviacha vilivyo tu.
 
Weka hapa ushahidi wa kisheria wametenda kosa gani kufurahia kifo cha marehemu?

Mbona Idd Aminin alikufa tukafurahi na hatukukamatwa?
IDD AMIN hakufa kipindi cha vita alikufa 2003 kipindi anakufa hakuna aliyekua ana muda wa kufatalia habari zake acha story za maskani
 
IDD AMIN hakufa kipindi cha vita alikufa 2003 kipindi anakufa hakuna aliyekua ana muda wa kufatalia habari zake acha story za maskani
Wapi nimeandika Idd Amini alikufa kipindi cha vita? Angekufa kipindi hicho nilikuwa sijazaliwa na singeweza kujua. Ingekuwa kama Kenyatta
 
Hakuna mtu aliyekamatwa kwa kuvaa dela la chadema, hacheni kuzusha uongo.

BTW Maria na Fatma walishakimbiaga nchi kitambo hawapo nchini. Wapo wanatumika na wazungu huko kutuzulia taaruki ili tuingie kwenye civil war.
Hizi akili sijui munatoaga wapi kwamba mtu akiwapinga inakua anatumiwa na wazungu??
 
Kwenda zako huko, ukiwa mtu wa sisitimu ndio ukifanya kosa usikamatwe?
Mbona musiba aliwatukana maraisi wastaafu na hakukamatwa??? Kwenda zako mburura wewe. Huyo marehemu mwenyewe alidukua simulates za watu mbona hukusema????
 
Hakuna mtu aliyekamatwa kwa kuvaa dela la chadema, hacheni kuzusha uongo.

BTW Maria na Fatma walishakimbiaga nchi kitambo hawapo nchini. Wapo wanatumika na wazungu huko kutuzulia taaruki ili tuingie kwenye civil war.
Wapo sana mjini, tunapishana nao tu daily. Kwani wamekosea wapi? Mbona wako smart sana kwenye ku present hoja zao?
 
Back
Top Bottom