Marshall plan
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 644
- 980
Nimemfuatilia mijadala yako yote ni yakipuuzi tu, wewe unabishana na vyombo vya habari?? Haya ndio yamesababisha mpka leo watu wafurahia vifoo vya wengine sababu ya uonevu wenu. Puuuzi kubwa kabisa weweHakuna mtu aliyekamatwa kwa kuvaa dela la chadema, hacheni kuzusha uongo.
BTW Maria na Fatma walishakimbiaga nchi kitambo hawapo nchini. Wapo wanatumika na wazungu huko kutuzulia taaruki ili tuingie kwenye civil war.