Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
DahMMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
MMOJA ASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi @haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Ili waonekane wapo kazini.MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Ni vijana wa Muliro ndiyo wamefanya shambulio hilo,huyu mzee ni mwongo sana alivyokana polisi kuwapiga na kuwavunja mikono na miguu wanachama wa Chadema hawezi kusminika tena.MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Shida ya kitima ni kupenda wanawake. Alipokuwa Mwanza Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, alikuwa anafanya mambo na mke wa mhadhiri ambaye alikuwa secretary ikafikia mume karma, akaacha kazi, akaachana na mke, mke alivyoachwa kitima naye akamuacha huyo mwanamke na watoto. Mwanamke akarudi kwa mume kwa magoti ikabidi ukoo uingilie.
Hapo Mwanza ilifikia muda sasa watu wakawa wanajipanga kumfumania. Labda kwa sasa kuwe na sababu nyingine, otherwise kila alikopita kaacha watoto
Kina nani?Sounds like a movie!
Toka lini wamekuwa active kiasi hiki?
Tunasubiri tamko.....hatuendi kupiga kura machawa pekee wampigie kyra aendeshe nchi kwa kumwaga damu.....MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watuMMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Ujue taifa letu vyama vya siasa hasa upinzani havina nguvu...Sounds like a movie!
Toka lini wamekuwa active kiasi hiki?
Bro tumia akili muda mwingine uchawa wako utatufikisha pabaya.huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu
Ila muliroMMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Hata mie nimehisi hivyo, tena na kutaja kabisa jina la mtuhumiwa!.Sounds like a movie!
Toka lini wamekuwa active kiasi hiki?
Nyie wanawake huwa mnakimbilia kuseme mmetakwa. Tunawajua sana.huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu
Vibaka wa kibibi Samia hawa. Hata ukiwa mjinga namna gani utajua hawa wametumwa kwa sababu kanisa limesema ukweli. Samia amesikika mara nyingi akitishia viongozi wa dini wanaosema ukweli.Dah
Aliingiaje kule mbona kuko safe sana