Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
1759827582445.png

Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.

Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta Augustino Polepole ili aweze kutupa ushirikiano na kutoa maelezo yake na uthibitisho wa shutuma alizotoa kwamba, Afisa wa Jeshi la Polisi alihusika katika tukio alilolitolea taarifa kupitia mitandao ya kijamii. Hii inaenda sambamba na kututhibitishia kuwa, Humphrey Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.

Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania

Soma

1759827108130.png
 
wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?

Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.
Screenshot_20251007-115340_1.jpg


Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?
Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
Na walivyowashenzi wameamdika eti Afisa jina wanafucha Afisa gani na jina hamjaweka mnataka kukimbia kesi kijanja? Wamrudishe HP akiwa anapumua
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ignored content
 
wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?
Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
alijuaje kua ni mafwele ndio kamteka ingali yeye hakuwepo wakati tukio analosema la utekaji likitokea?
 
Hii inaenda sambamba na kututhibitishia kuwa, Humphrey Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.

Najua jinsi polisi wanavyofanya kazi. Nishakuwa na kesi mbili ambapo mm sikuwa muhusika ila ni third party kama huyu aliyempangishia nyumba Polepole.

Wakaniweka kuwa nashirikiana na watuhumiwa. Kitu ambacho sio. Na sikuwa na ufaham nn wanafanya.

Sasa wenye nyumba ile Wajiandae kutolewa hela za Kutosha. Watahonga sana...
Maana kuna namna Polisi wana frame kesi na ukiangalia unaona kama inaweza kukutia hatiani kwa kushiriki tukio lolote la wanayemshtak.
Ingawa ni vitisho maana Wakienda mahakaman watagonga mwamba.

Mahakamani pia ni usumbufu. Kwahiyo ili usihangaike . Inabidi utoe tu Hongo kwa Polisi. Akuweke kama shahidi na sio mshirika wa mtuhumiwa.

Kesi 1 nilisimama kama shahid . Mahakama ya mwanzo. Kinondon .nyingne haikwenda mahakaman.
 
Najua jinsi polisi wanavyofanya kazi. Nishakuwa na kesi kadhaa na mm sikuea muhusika ila ni third party kama huyu aliyempangishia nyumba Polepole.

Wajiandae kutolewa hela za Kutosha. Na kuhonga...
Maana kuna namna Polisi wana frame kesi na ukiangalia unaona kama inaweza kukutia hatiani kwa kushiriki tukio lolote. Ingawa ni vitisho maana Wakienda mahakaman watagonga mwamba.

Mahakama pia ni usumbufu. Kwahiyo ili usihangaike . Inabidi utoe tu Hongo.
Usumbufu wowote atakaopewa Haizidi machungu ya kupotelewa na ndugu yake
 
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pi
Maisha ya mtu yamepotea, nyumba imevunjwa, mtu amepigwa kama mbwa, damu zimemwagika kila mahali halafu unaongea upumbavu wewe Mwashambwa, I hope siku moja utakufa kifo kibaya sana cha aibu.

Kwanza umewezaje kuingia hapa JF wakati JF imefungiwa, Makonda amekupa VPN?

Haya mnayoyafanya mbwa nyiye mtalipa siku ikifika.


WAUAJI WAKUBWA NYIYE.
 
wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?
Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
Mambo hayaendi hvo redbrigade..
Hata naweza amka nikasema ngara23 amenitishia kuua, huwez kukurupuka kumtafuta ngara 23 bali mm ndo natakiwa nitoe maelezo ya kina ili ngara atafutwe..
YANGA BINGWA
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mama anatufikia kupitia Mafwele Wala SI vingine.
Mitano Mama na Fwele bwai.
 
Back
Top Bottom