KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Nasemaje, nasemaje..Nasemaje nasemaje ..amejiteka yeye asitusumbue tupo bize na kampeni
Panjuan kajiteka ili taharuki iambatane na ya tesha..
Nasemaje, nasemaje..Nasemaje nasemaje ..amejiteka yeye asitusumbue tupo bize na kampeni
Haya unenayo ingia barabarani na familia yako mkaandamane😅utakufa na njaa wewe...
njaa isikutoe utu wako...
hivyo viposho mnapewa kuna siku yatawatokea puani...
Tumeshtukia mchezo😅Nasemaje, nasemaje..
Panjuan kajiteka ili taharuki iambatane na ya tesha..
wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?
Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
achana na mimi malay@ mchafu... cheap little b!tch..Haya unenayo ingia barabarani na familia yako mkaandamane😅
Mtaandamana lini?achana na mimi malay@ mchafu... cheap little b!tch..
kuandamana tutaandamana.. kaliza hiko kinyeo hapo siku ifike...
Muhanga gani bwana polepole polepole hayupi Tanzania ni wametaka kuzua taharuki ila wala serikali ya mama haiteteteki ndo kwanza tuko bize na kampeniHivi Polisi wapo timamu kweli au wanavutaga bange, baada ya kumtafuta muhanga wanamtafuta ndugu wa muhanga wampe kifinyo!...
Subiri siku ndugu yako wa karibu yamkute masaibu kama hayo, ndo utaelewa hasara za kukataa kufuata mifumo ya kisheria iliyowazi katika kushughurikia mamboNdugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
lucas, watu wana majonzi, hebu tulia kwanza na habari za mama kuupiga mwingi utachochea ghadhabu zaidi kwa wananchiNdugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Asante kwa kumtambua mapema sana ndio maana nimemuweka ignore huyo muuzajiqum@, malay@ wewe..
Wewe umejuaje km sio Mwafwele aliemteka? Mpaka amesema maana yake ana uhakika na alichokisema kwa hio kaa kwa kutulia mwambie Mwafwele amrudishe HP akiwa anapumuaalijuaje kua ni mafwele ndio kamteka ingali yeye hakuwepo wakati tukio analosema la utekaji likitokea?
Nenda kaatombwe maana ndicho kikubwa ulichobakizaAmejiteka yy asitusumbue tupo bize na kampeni
Unateseka ukiwa wapi?Nenda kaatombwe maana ndicho kikubwa ulichobakiza
Polepole alaikua anashitakiwa Mahakama ipi kwa kosa gani? Tuanzie hapoMaana kuna namna Polisi wana frame kesi na ukiangalia unaona kama inaweza kukutia hatiani kwa kushiriki tukio lolote la wanayemshtak.
Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumua itoshe kusema hivyoMahakamani pia ni usumbufu. Kwahiyo ili usihangaike . Inabidi utoe tu Hongo kwa Polisi. Asikuweke kama shahidi na sio mshirika ea mtuhumiwa.
Kesi 1 nilisimama kama shahid . Mahakama ya mwanzo. Kinondon .nyingne haikwenda mahakaman.