Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

alijuaje kua ni mafwele ndio kamteka ingali yeye hakuwepo wakati tukio analosema la utekaji likitokea?
Kwa pole pole hakuna majirani?
Au unadhani wakati wanavunja nyumba yake mpaka wanamchukua hakuna aliyewaona?
Unadhani mafwele hajulikani?
ATOKE ABISHE
 
Back
Top Bottom