Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Matako yako
 
Halafu naweza kusema nimekwisha kushitukia janja zenu, naona mpo wengi sana mnao mponda Polepole toka jana, naona mnajalibu kuleta propaganda kusudi tupotezee mapema utekaji wenu, hapa mmechemsha kama siyo kuchemshwa...
 
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.

Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta Augustino Polepole ili aweze kutupa ushirikiano na kutoa maelezo yake na uthibitisho wa shutuma alizotoa kwamba, Afisa wa Jeshi la Polisi alihusika katika tukio alilolitolea taarifa kupitia mitandao ya kijamii. Hii inaenda sambamba na kututhibitishia kuwa, Humphrey Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.

Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania

Soma

Polisi kwa Tanzania ni kazi ya LAANA.
 
Halafu naweza kusema nimekwisha kushitukia janja zenu, naona mpo wengi sana mnao mponda Polepole toka jana, naona mnajalibu kuleta propaganda kusudi tupotezee mapema utekaji wenu, hapa mmechemsha kama siyo kuchemshwa...
Fanya jambo sasa
 
Tabia za waTZ tunazijua.

Mm niko kinyume na hizi tekateka za frontlaners.
Na ndio maana frontlaners weng wakijilipua bas huwa wanaenda nje ya nchi na sio TZ.

Hawa wanaharakat. Siku wakiungana. Wawe kwa pamoja sehem moja . Mstar wa mbele . Na wakamatwe. Ndio siku TZ hi itaamka.

Otherwise hakuna mabadiliko.
Wanachofanya watu wasiojulikana ni disunity.
Kuondoa wale vimbelembele.
Kwasababu wanajua bila hawa vimbelembele kuhamashisha hakuna anayeweza kwenda front.

Hii sio prediction. Ni Spoiler.
 
Dah nchi hii🤦‍♀️
Ilibidi waandike

Polisi: Tunamtafuta Afisa wa Polisi Faustine Mwafwele kwa tuhuma nzito za kumteka HP

Hio ndio ilibidi iwe title head
 
Tabia za waTZ tunazijua.

Mm niko kinyume na hizi tekateka za frontlaners.
Na ndio maana frontlaners weng wakijilipua bas huwa wanaenda nje ya nchi na sio TZ.

Hawa wanaharakat. Siku wakiungana. Wawe kwa pamoja sehem moja . Mstar wa mbele . Na wakamatwe. Ndio siku TZ hi itaamka.

Otherwise hakuna mabadiliko.
Wanachofanya watu wasiojulikana ni disunity.
Kuondoa wale vimbelembele.
Kwasababu wanajua bila hawa vimbelembele kuhamashisha hakuna anayeweza kwenda front.

Hii sio prediction. Ni Spoiler.
Hakika mkuu umeongea jambo la msingi sana, ni wakati wa kukaa tukatuliza akili tujua tunafanyaje na siyo kutegemea mtu mmoja atupiganie, kwa mwenendo huu watatusumbua sana na hatutaweza kuwafanya kitu chochote kile, kama walivyo mwambia kiongozi wetu hapa JF kwamba tutapiga kelele mwisho tutanyamaza.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We hunaga akili
 
Kwa hili jeshi la polisi tulilonalo, ukiona wameandika wanamtafuta AUGUSTINO POLEPOLE...BASI TAYARI UJUE EITHER WANAE MIKONONI!...!

hawa wanakutafuta kimya kimya na kumalizana nawewe kimya kimya!
 
What if akisema anaushahid wa kutosha bila shaka, what if umekuwa ni mtego
 
W
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ewe chawa mama yako alishasema sio rais wa wanyonge.
 
Back
Top Bottom