Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Alichapisha maudhui ya uchochezi kuwa Wana CCM mtandao walihusika na kifo cha Rais Magufuli. Wakati anajua ni uwongo.Polepole alaikua anashitakiwa Mahakama ipi kwa kosa gani? Tuanzie hapo
Sasa HP ndio athibitishe ukweli wa kauli yake.