Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Afisa? Mtaje Mwafwele mnaandika Afisa bila jina na huku Agustino Polepole mnamtaja full name na huyo Afisa mtajeni full name, shubamituthibitisho wa shutuma alizotoa kwamba, Afisa wa Jeshi la Polisi alihusika katika tukio alilolitolea taarifa kupitia mitandao ya kijamii.
Wangeanza kuhoji mtuhumiwa ingependeza...na uthibitisho wa shutuma alizotoa kwamba, Afisa wa Jeshi la Polisi alihusika katika tukio alilolitolea taarifa kupitia mitandao ya kijamii.
Na walivyowashenzi wameamdika eti Afisa jina wanafucha Afisa gani na jina hamjaweka mnataka kukimbia kesi kijanja? Wamrudishe HP akiwa anapumuawanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?
Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
qum@, malay@ wewe..Amejiteka yy asitusumbue tupo bize na kampeni
Wangeanza na huyo alietajwa Mwafwele awaelezee vizuriWangeanza kuhoji mtuhumiwa ingependeza
Ignored contentNdugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
alijuaje kua ni mafwele ndio kamteka ingali yeye hakuwepo wakati tukio analosema la utekaji likitokea?wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?
Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
Hii inaenda sambamba na kututhibitishia kuwa, Humphrey Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.
Nasemaje nasemaje ..amejiteka yeye asitusumbue tupo bize na kampeniqum@, malay@ wewe..
Usumbufu wowote atakaopewa Haizidi machungu ya kupotelewa na ndugu yakeNajua jinsi polisi wanavyofanya kazi. Nishakuwa na kesi kadhaa na mm sikuea muhusika ila ni third party kama huyu aliyempangishia nyumba Polepole.
Wajiandae kutolewa hela za Kutosha. Na kuhonga...
Maana kuna namna Polisi wana frame kesi na ukiangalia unaona kama inaweza kukutia hatiani kwa kushiriki tukio lolote. Ingawa ni vitisho maana Wakienda mahakaman watagonga mwamba.
Mahakama pia ni usumbufu. Kwahiyo ili usihangaike . Inabidi utoe tu Hongo.
Maisha ya mtu yamepotea, nyumba imevunjwa, mtu amepigwa kama mbwa, damu zimemwagika kila mahali halafu unaongea upumbavu wewe Mwashambwa, I hope siku moja utakufa kifo kibaya sana cha aibu.Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pi
Mambo hayaendi hvo redbrigade..wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?
Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza
Mama anatufikia kupitia Mafwele Wala SI vingine.Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
utakufa na njaa wewe...Nasemaje nasemaje ..amejiteka yeye asitusumbue tupo bize na kampeni