Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

wanatAka kumuuwa Polepole na kaka yake?

Augustino Polepole aliwataja mtekaji kuwa ni Mafwele ambaye ni Afsa wa police ina maana wamemkosa Mafwele kumhoji hadi kumtiahishia Augustino akatoe ushahidi ambao wamejipanga kuupuuza

Kaka wa Polepole hawez kuuliwa.
Ila atapata harassment za kutosha.
Ndio Polisi walivyo. Wakuda sana.

Third party huwa wanatingishwa watoe hongo au kuteseka kwa namna yoyote na sio kushtakiwa au kuuliwa.

Hapo anaweza kutishwa kuwa yeye alikuwa anashirikiana na H.polepole . Na ndiye anamtunza na kumfichana mambo mengine meng ambayo kimahakaman hawawez kuprove. Ila kipolisi watamtingisha navyo sana.

Nishawah kutwa kwenye situation ya kuwekwa mtu kati kisa namjua mtuhumiwa na nilikuwa nashirikiana nae kwenye vitu kadhaa. Polisi wachenz sana
 
Polisi chonde, chonde, chonde, huko mnakotaka kufika siyo buheri. Mtakamata wengi sana pindi ndugu zao wakitekwa. Mnataka uthibitisho na ushahidi wa nini wakati kazi yenu ni kupeleleza kujua ukweli? Ndio kasema hivyo, sasa awasaidie nini tena? Je kama ni kweli huyo raia mtamuacha salama?
 
Hivi Polisi wapo timamu kweli au wanavutaga bange, baada ya kumtafuta muhanga wanamtafuta ndugu wa muhanga wampe kifinyo!...
 
Hivi Polisi wapo timamu kweli au wanavutaga bange, baada ya kumtafuta muhanga wanamtafuta ndugu wa muhanga wampe kifinyo!...
Muhanga gani bwana polepole polepole hayupi Tanzania ni wametaka kuzua taharuki ila wala serikali ya mama haiteteteki ndo kwanza tuko bize na kampeni
Vipi unaandamana leo au unasubiris Oct 29 ??
 
Subiri siku ndugu yako wa karibu yamkute masaibu kama hayo, ndo utaelewa hasara za kukataa kufuata mifumo ya kisheria iliyowazi katika kushughurikia mambo
 
Siku mbili nyuma, tesha alionekana kusoma au kuyasema maneno ambayo yanaonekana kabisa ni ya panjuan POLE SLOW, alivyoona yamepamba moto mtandaoni akajikolezea moto kwa kujiteka..(HYO MBINU TUNAIJUA. SISI SI NYUMBU)

okay mtu katekwa usiku wa manane hakuna aliyekuwa anaona, mtu anakurupuka fulani kamteka halafu mnataka ahojiwe anayetuhumiwa badala ya mlalamikaji kutoa ushrikiano...
mara oo ana chip ili ajirudi ionekane wameogopa kuumbuka na chip!
SISI SIYO NYUMBU ACHENI UNGESE!
 
lucas, watu wana majonzi, hebu tulia kwanza na habari za mama kuupiga mwingi utachochea ghadhabu zaidi kwa wananchi
 
alijuaje kua ni mafwele ndio kamteka ingali yeye hakuwepo wakati tukio analosema la utekaji likitokea?
Wewe umejuaje km sio Mwafwele aliemteka? Mpaka amesema maana yake ana uhakika na alichokisema kwa hio kaa kwa kutulia mwambie Mwafwele amrudishe HP akiwa anapumua
 
Mahakamani pia ni usumbufu. Kwahiyo ili usihangaike . Inabidi utoe tu Hongo kwa Polisi. Asikuweke kama shahidi na sio mshirika ea mtuhumiwa.

Kesi 1 nilisimama kama shahid . Mahakama ya mwanzo. Kinondon .nyingne haikwenda mahakaman.
Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumua itoshe kusema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…