Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Alichapisha maudhui ya uchochezi kuwa Wana CCM mtandao walihusika na kifo cha Rais Magufuli. Wakati anajua ni uwongo.Polepole alaikua anashitakiwa Mahakama ipi kwa kosa gani? Tuanzie hapo
Kesi yake ilifunguliwa Mahakama ipi au nani alienda kumripoti kituo gani? Yaan nyoosha maelezo usikonekone sanaAlichapisha maudhui ya uchochezi kuwa Wana CCM mtandao walihusika na kifo cha Rais Magufuli. Wakati anajua ni uwongo.
Sasa HP ndio athibitishe ukweli wa kauli yake.
Una kazi ngumu sana kufatilia kila thread na michango yakeMuhanga gani bwana polepole polepole hayupi Tanzania ni wametaka kuzua taharuki ila wala serikali ya mama haiteteteki ndo kwanza tuko bize na kampeni
Vipi unaandamana leo au unasubiris Oct 29 ??
Mimi au wewe nani mwenye kazi ngumu😅 unashangaza sanaUna kazi ngumu sana kufatilia kila thread na michango yake
Una kazi ngumu. Fatilia kila mida upo kwenye threads zote kutafuta wanaokosoa serikali.Mimi au wewe nani mwenye kazi ngumu😅 unashangaza sana
Ndio nitaweza😅😅Una kazi ngumu. Fatilia kila mida upo kwenye threads zote kutafuta wanaokosoa serikali.
Mitandao ipo mingi, Kuna Facebook, insta, Twitter, tiktok, jf n.k huko kote utaweza kweli kufatilia wanaokosoa na kuanza kubishana nao na kuweka propaganda zako za kitoto?
Kwahiyo mama Abdul amekuwa mamaako siku hizi si ndiyo, kubwa zima kuita wa mama wa watu MAMA! Ajabu sana hii.Muhanga gani bwana polepole polepole hayupi Tanzania ni wametaka kuzua taharuki ila wala serikali ya mama haiteteteki ndo kwanza tuko bize na kampeni
Vipi unaandamana leo au unasubiris Oct 29 ??
Ndio ni mama ana uwezo wa kunizaa..kwanini nsimuite mamaKwahiyo mama Abdul amekuwa mamaako siku hizi si ndiyo, kubwa zima kuita wa mama wa watu MAMA! Ajabu sana hii.
Hauwezi hauna hiyo nguvuKabisa shemeji kupanga ni kuchagua🤣
Hilo ndio swali muhimu na kama labda anaushahidi itabidi aoneshe huwezi kumtaja mtu kwa dhana. Nadhani polisi kwenye hili wako sawa kabisa.alijuaje kua ni mafwele ndio kamteka ingali yeye hakuwepo wakati tukio analosema la utekaji likitokea?
Sahihi kabisa,Mambo hayaendi hvo redbrigade..
Hata naweza amka nikasema ngara23 amenitishia kuua, huwez kukurupuka kumtafuta ngara 23 bali mm ndo natakiwa nitoe maelezo ya kina ili ngara atafutwe..
YANGA BINGWA
Wanaharakati ukiwapinga tu basi ni matusi ila wao wanatukana wakifinywa tu sio vilio hivyo.achana na mimi malay@ mchafu... cheap little b!tch..
kuandamana tutaandamana.. kaliza hiko kinyeo hapo siku ifike...
DuhAmejiteka yy asitusumbue tupo bize na kampeni
🚮Muhanga gani bwana polepole polepole hayupi Tanzania ni wametaka kuzua taharuki ila wala serikali ya mama haiteteteki ndo kwanza tuko bize na kampeni
Vipi unaandamana leo au unasubiris Oct 29 ??
Aiseee! Yaani unaongea pumba kabisa, natamani ungekuwepo kalibu nikudhabue makofi, wavaa majani ni watu mnakela sana.Ndio ni mama ana uwezo wa kunizaa..kwanini nsimuite mama
Kundu lako wewe hayawani.Nasemaje nasemaje ..amejiteka yeye asitusumbue tupo bize na kampeni