Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Matako yakoNdugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu naona ni bora hivi JF hatuonani,bila shaka muda huu ungekua umeshampasua mtu Pua.qum@, malay@ wewe..
🤣🤣🤣Aiseee! Yaani unaongea pumba kabisa, natamani ungekuwepo kalibu nikudhabue makofi, wavaa majani ni watu mnakela sana.
naam
Polisi kwa Tanzania ni kazi ya LAANA.
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.
Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta Augustino Polepole ili aweze kutupa ushirikiano na kutoa maelezo yake na uthibitisho wa shutuma alizotoa kwamba, Afisa wa Jeshi la Polisi alihusika katika tukio alilolitolea taarifa kupitia mitandao ya kijamii. Hii inaenda sambamba na kututhibitishia kuwa, Humphrey Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania
Soma
- Polisi: Bado tunasubiri Polepole aripoti Ofisi ya DCI; taarifa za kutekwa kwake tumeanza kufanyia kazi
- Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele
Fanya jambo sasaHalafu naweza kusema nimekwisha kushitukia janja zenu, naona mpo wengi sana mnao mponda Polepole toka jana, naona mnajalibu kuleta propaganda kusudi tupotezee mapema utekaji wenu, hapa mmechemsha kama siyo kuchemshwa...
Tarehe 29 nakuoa utake usitake, mwisho wenu umefika.Fanya jambo sasa
Halafu naweza kusema nimekwisha kushitukia janja zenu, naona mpo wengi sana mnao mponda Polepole toka jana, naona mnajalibu kuleta propaganda kusudi tupotezee mapema utekaji wenu, hapa mmechemsha kama siyo kuchemshwa...
Ilibidi waandikeDah nchi hii🤦♀️
Mbona mbali huko...nioe leo nipo misungwi sasa hivi njoo tufunge ndoaTarehe 29 nakuoa utake usitake, mwisho wenu umefika.
Hakika mkuu umeongea jambo la msingi sana, ni wakati wa kukaa tukatuliza akili tujua tunafanyaje na siyo kutegemea mtu mmoja atupiganie, kwa mwenendo huu watatusumbua sana na hatutaweza kuwafanya kitu chochote kile, kama walivyo mwambia kiongozi wetu hapa JF kwamba tutapiga kelele mwisho tutanyamaza.Tabia za waTZ tunazijua.
Mm niko kinyume na hizi tekateka za frontlaners.
Na ndio maana frontlaners weng wakijilipua bas huwa wanaenda nje ya nchi na sio TZ.
Hawa wanaharakat. Siku wakiungana. Wawe kwa pamoja sehem moja . Mstar wa mbele . Na wakamatwe. Ndio siku TZ hi itaamka.
Otherwise hakuna mabadiliko.
Wanachofanya watu wasiojulikana ni disunity.
Kuondoa wale vimbelembele.
Kwasababu wanajua bila hawa vimbelembele kuhamashisha hakuna anayeweza kwenda front.
Hii sio prediction. Ni Spoiler.
Utanyooka sana nitakulibunda kama ngoma kila siku, uone hao ccm wenzako kama watakuja kukuokoa kwenye mkono wangu...Mbona mbali huko...nioe leo nipo misungwi sasa hivi njoo tufunge ndoa
We hunaga akiliNdugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ewe chawa mama yako alishasema sio rais wa wanyonge.Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la police Nchini.View attachment 3484863
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hao wanaopingwa wanaua mbona husemi...Wanaharakati ukiwapinga tu basi ni matusi ila wao wanatukana wakifinywa tu sio vilio hivyo.