Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

Ila polisi wamezingua.

1. "Walijeruhi watu wawili ambae ni Shommy maarufu Paka Pori na Beka."

2. "Miili miwili imetambuliwa kuwa ni Shommy na Beka ila wa tatu ambae ni Paka Pori hajatambuliwa"

Maelezo yanakinzana.

SItetei uhalifu ila kitengo cha mawasiliano cha polisi kiwe kina hariri habari zao ili kuondoka mkanganyiko na kuleta sintofahamu.
 
Nilileta uzi huku juzi kwa namna ambavyo jeshi letu linafanya kazi bila weledi, yaani watu wanamapanga nyie mnawapiga risasi.

Hii inauzi sana
Sana sana ndugu lakini kwa sababu wanajua wabongo wanashabikia wahalifu kuuawa basi wamekuja na story za panya white etc. Hao panya wangewasweka ndani woteee
 
Inasikitisha sana kwa watu wasiokuwa na watetezi bingo,tutaweka wakili haki zao waliodhulumiwa uhai wao,ukiangalia comment ni uthibitisho watu walivo na chuki kwa jamii ambayo sio yao.
Majitu hayana akili , awamu ya tano tulilia sana kuhusiana na matendo ya kishenzi ya utekaji , utesaji na mauaji ya kishenzi yaliyokuwa yanafanywa na jeshi la polisi na vibaka wa usalama wa taifa .
Leo hii utakuta ndio hao hao wanashabikia ushenzi kama huu
Hii nchi ina sheria na mahakama , hao hata kama waliua ,walipaswa kupelekwa katika mfumo wa sheria na sheria kuwashughulia na si kuwateka na kuenda kuwafanyia torture mbaya kama hiyo na kuwatoboa macho na kuwaua
Huu ni ushenzi
 
Si ujanja ujanja
 
Kwa hiyo polisi haiwezi kukamata mhalifu bila kuua? Yaani vijana sita wenye mapanga imekua tabu kukamata au hawataki mambo za mahakamani! Very sad kuambiwa tu fulani panya road just like that afu unakula chuma!
Ni mambo ya ovyo sana hii nchi yanafanyika
 
Kama ni panya road wamestahili walichokipata,mambo ya utawala bora yaishie huko huko
Na siku uingie mtaani uwe na bifu na mtu wakusaikizie wewe ni panya road then waende wakufanyie hicho walichofanya hao madogo ndio utaona utamu wake .
Taifa la wapumbavu , illiterates wasio na akili wala elimu .
Hivi mnajua maana ya nchi kuweka mifumo ya sheria na haki ?
 
Kama hukai Dar Es Salaam una haki ya kusema hivyo. Ila mkazi yeyote wa Dar es salaam ambaye ameshakutana na kadhia ya hawa Panya road akisikia wamekula chuma roho yake inasuuzika.

Hawa Panya hamna kitu wanaelewa kichwani kwao hata wakikukuta na mama yako mzazi au mkeo wanaweza mshika makalio mbele yako hapo hapo sasa chaguo ni lako zingua ufe au utulie wafanye yao.

Na ukichagua kufa wala hawajali. Wana-kubless mapanga tu
 
Chapa shaba panya rodi wote.

Tatizo kubwa ni uaminifu wa hili jeshi letu, oparesheni kama hizi hutumiwa vibaya na hao polisi kwa kuua, kutesa au kukamata watesi wao binafsi kwa kisingizio kua ni panya rodi.
 
Hakika ni ujinga ndo maana ukimuona polisi mkwepe sana hata ukigombana nae itatengenezwa hiyo story hutakaa uaamini
 
Wangekamatwa wakalime huko jela sio kuua hovyo. Hawa polisi wamepewa mamlaka ya kuua ndo maana wakikuta na vimilioni vyako unakula chuma utasikia tulikua tunamkamata akatuponyoka!
Mage dada yangu kama kweli polisi waligundua ni waovu naona pia wameuawa kistaarabu sana, nafikiri hujawahi kuona unyama wa hali ya juu wanaofanya hawa vibaka sio?

Basi yeyote ambaye aliwahi kukutwa na dhahama ya vibaka atakushangaa sana sana ,jamaa yangu mpaka leo haongei vizuri walitaka kumchinja bahati nzuri watu wakatokea wakiwa washaanza ,hao sio wa kwenda kulimishwa hawastahili kuishi.
 
Sio mtoto wangu tu, hata mzazi wangu kama ni muhalifu anapaswa kupigwa chuma. Wao wakija kukuibia wanatumia sheria ipi?? au unakaza fuvu tu madam??
Una uhakika gani hao vijana waliouawa ni panya road ?
Au unaandika usenge tu hapa kimhemuko bila kutumia akili ?
 
Nakaa kimara labda sababu sipo vingunguti!
 
Nimekuja kugundua watu wengi ni wajinga sana nchi hii
 
Una uhakika gani hao vijana waliouawa ni panya road ?
Au unaandika usenge tu hapa kimhemuko bila kutumia akili ?
Nadhani Usenge ni ku reply comment ya mtu ambaye unajua hatumii akili, au vipi mkuu??
 
Mchuma janga hula na wa kwao.
 
Mkata umeme ,mkata moto Ina maana jamaa jambaka muuaji🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…