Hiyo bugarika na Igogo ni maeneo ya hatarish sanaaMimi nilishasema mwizi anayetumia siraha huyo ni wa kuua tu hata angekuwa mwanangu
Kuna jamaa huku mwanae alikuwa kibaka akamuonya sana ila mtoto hakusikia ila mama mtu alikuwa anamtetea sana mwanae
Mwisho wa siku mtoto dogo alidakwa mitaa ya bugarika raia tembeza kichapo mpaka dogo akafa baba mtu aligoma kabisa mwili usiletwe kwake dogo alizikwa na manispaa