Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwapiga risasi zilizopelekea vifo vyao Vijana wawili Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) Wakazi wa Vingunguti Jijini Dar es salaam ambapo wamesema Vijana hao walikuwa Wahalifu (Panya Road) na kwamba mwenzao wa tatu bado mwili wake upo Amana Hospital na wenzao wengine wamekimbia.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema “December 27,2023 lilipokea taarifa kutoka kwa Wananchi wanaochukia uhalifu meneo ya Vingunguti kuwa kuna kundi la Watu vijana akiwemo Panya White kama kiongozi wao wanajiandaa kukufanya matukio ya kihalifu maeneo ya Vingunguti ambapo ufuatiliaji ulianza na Polisi walipofika maeneo ya Vingunguti darajani majira ya saa 2:00 usiku waliwakuta Watu sita wakiwa na silaha za jadi (mapanga) wakiwa wamekusanyika”
“Polisi waliwataka wajisalimishe ili wakamatwe, kinyume chake wakataka kuwashambulia Polisi kwa mapanga, Polisi walijihami na kufyatua risasi hewani lakini mazingira yalivyozidi kuwa ya hatari zaidi Polisi walilazimika kuwajeruhi kwa risasi miguuni na hapo watatu miongoni mwao walifanikiwa kukamatwa huku wakiwa na mapanga matatu yaliyopatikana eneo hilo la tukio”
“Polisi waligundua baadaye kuwa waliokuwa wamejeruhiwa eneo hilo ni pamoja na Paka Pori maarufu Shommy ambaye baadae alijulikana kwa jina la Shomari Salehe Kucheuka na Beka aliyejulikana baadaye kama Bakari Athumani, waliokimbia ni Panya White na mwingine ambaye hajafahamika, hao waliokamatwa baada ya kujeruhiwa walipelekwa Hospitali ya Amana kwa matibabu lakini baada ya kufikishwa pale Madaktari walibaini kuwa tayari walikuwa wamepoteza maisha”
“Maiti mbili za Shomy na Beka tayari zimetambuliwa na Ndugu zao na maiti moja ya Paka Pori bado ipo Hospitali ya Amana haijatambuliwa na Ndugu na upelelezi wa tukio hili na matukio mengine ya eneo hilo unaendelea”.
Pia soma: Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi
View attachment 2858621
©Millardayo
Kashfa kubwa sana kwa polisi.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwapiga risasi zilizopelekea vifo vyao Vijana wawili Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) Wakazi wa Vingunguti Jijini Dar es salaam ambapo wamesema Vijana hao walikuwa Wahalifu (Panya Road) na kwamba mwenzao wa tatu bado mwili wake upo Amana Hospital na wenzao wengine wamekimbia.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema “December 27,2023 lilipokea taarifa kutoka kwa Wananchi wanaochukia uhalifu meneo ya Vingunguti kuwa kuna kundi la Watu vijana akiwemo Panya White kama kiongozi wao wanajiandaa kukufanya matukio ya kihalifu maeneo ya Vingunguti ambapo ufuatiliaji ulianza na Polisi walipofika maeneo ya Vingunguti darajani majira ya saa 2:00 usiku waliwakuta Watu sita wakiwa na silaha za jadi (mapanga) wakiwa wamekusanyika”
“Polisi waliwataka wajisalimishe ili wakamatwe, kinyume chake wakataka kuwashambulia Polisi kwa mapanga, Polisi walijihami na kufyatua risasi hewani lakini mazingira yalivyozidi kuwa ya hatari zaidi Polisi walilazimika kuwajeruhi kwa risasi miguuni na hapo watatu miongoni mwao walifanikiwa kukamatwa huku wakiwa na mapanga matatu yaliyopatikana eneo hilo la tukio”
“Polisi waligundua baadaye kuwa waliokuwa wamejeruhiwa eneo hilo ni pamoja na Paka Pori maarufu Shommy ambaye baadae alijulikana kwa jina la Shomari Salehe Kucheuka na Beka aliyejulikana baadaye kama Bakari Athumani, waliokimbia ni Panya White na mwingine ambaye hajafahamika, hao waliokamatwa baada ya kujeruhiwa walipelekwa Hospitali ya Amana kwa matibabu lakini baada ya kufikishwa pale Madaktari walibaini kuwa tayari walikuwa wamepoteza maisha”
“Maiti mbili za Shomy na Beka tayari zimetambuliwa na Ndugu zao na maiti moja ya Paka Pori bado ipo Hospitali ya Amana haijatambuliwa na Ndugu na upelelezi wa tukio hili na matukio mengine ya eneo hilo unaendelea”.
Pia soma: Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi
View attachment 2858621
©Millardayo
Kwa taarifa hii ya Polisi, Je, wanatoa ujumbe gani kwa umma hususani kuhusiana na suala la utawala bora wa Sheria na Utii wa Sheria bila shuruti????
Kwa maoni yangu na kwa kuzingatia hali halisi iliyopo kuhusiana na tukio hili, naona yafaa Jeshi la Polisi lingekaa kimya kuhusu tukio hili. Lisingetoa taarifa kama hii ambayo ukiitathmini kwa kina ina walakini na ukakasi mwingi, naona kama inahamasisha Wananchi ili wajichukulie Sheria mikononi.
Kama ni panya road wamestahili walichokipata,mambo ya utawala bora yaishie huko huko
Kama kweli ni panya road nawapongeza jeshi la polisi na kuhimiza wananchi wenzangu kuendelea kujichukulia sheria mkononi kukabiliana na wahalifu wa aina yoyote ile.
"Kama ni" hiyo kama ni anaithibitisha nani!?
Holy CrapJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwapiga risasi zilizopelekea vifo vyao Vijana wawili Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) Wakazi wa Vingunguti Jijini Dar es salaam ambapo wamesema Vijana hao walikuwa Wahalifu (Panya Road) na kwamba mwenzao wa tatu bado mwili wake upo Amana Hospital na wenzao wengine wamekimbia.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema “December 27,2023 lilipokea taarifa kutoka kwa Wananchi wanaochukia uhalifu meneo ya Vingunguti kuwa kuna kundi la Watu vijana akiwemo Panya White kama kiongozi wao wanajiandaa kukufanya matukio ya kihalifu maeneo ya Vingunguti ambapo ufuatiliaji ulianza na Polisi walipofika maeneo ya Vingunguti darajani majira ya saa 2:00 usiku waliwakuta Watu sita wakiwa na silaha za jadi (mapanga) wakiwa wamekusanyika”
“Polisi waliwataka wajisalimishe ili wakamatwe, kinyume chake wakataka kuwashambulia Polisi kwa mapanga, Polisi walijihami na kufyatua risasi hewani lakini mazingira yalivyozidi kuwa ya hatari zaidi Polisi walilazimika kuwajeruhi kwa risasi miguuni na hapo watatu miongoni mwao walifanikiwa kukamatwa huku wakiwa na mapanga matatu yaliyopatikana eneo hilo la tukio”
“Polisi waligundua baadaye kuwa waliokuwa wamejeruhiwa eneo hilo ni pamoja na Paka Pori maarufu Shommy ambaye baadae alijulikana kwa jina la Shomari Salehe Kucheuka na Beka aliyejulikana baadaye kama Bakari Athumani, waliokimbia ni Panya White na mwingine ambaye hajafahamika, hao waliokamatwa baada ya kujeruhiwa walipelekwa Hospitali ya Amana kwa matibabu lakini baada ya kufikishwa pale Madaktari walibaini kuwa tayari walikuwa wamepoteza maisha”
“Maiti mbili za Shomy na Beka tayari zimetambuliwa na Ndugu zao na maiti moja ya Paka Pori bado ipo Hospitali ya Amana haijatambuliwa na Ndugu na upelelezi wa tukio hili na matukio mengine ya eneo hilo unaendelea”.
Pia soma: Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi
View attachment 2858621
©Millardayo
Mtoto wako/ndugu yako akiwa mhalifu utakubali apigwe chuma? Au ushabiki maandazi.
Wahalifu washungulikiwe kwa mujibu wa sheria sio kuwajaza hao polisi kichwa waanze kuua watu hovyo! THIS IS NOT A POLICE STATE. Ni nchi ina sheria zake sema ujinga ujinga umetujaa wabongo
Ndio wanashangiliaNimesoma kommenti humu nimegundua kama taifa tunasafari ndefu.
Kwamba watu wanashangilia watu kupigwa risasi kwa kigezo cha kuwa ni waharifu?
Hutaki kuishi na Paka Pori? Ha ha ha! Kazi bora kabisa wamefanya Jeshi la Polisi! Kongole kwao.Vingunguti hata unipe chumba bure sikai!
Wewe unaweza kukabilianaje na watu wenye mapanga? Unajua vitu vingine tusiongee kirahisi.Nilileta uzi huku juzi kwa namna ambavyo jeshi letu linafanya kazi bila weledi, yaani watu wanamapanga nyie mnawapiga risasi.
Hii inauzi sana
Utawala bora kwa Paka Pori? Kuwa serious ndugu.Kwa taarifa hii ya Polisi, Je, wanatoa ujumbe gani kwa umma hususani kuhusiana na suala la utawala bora wa Sheria na Utii wa Sheria bila shuruti????
Kwa maoni yangu na kwa kuzingatia hali halisi iliyopo kuhusiana na tukio hili, naona yafaa Jeshi la Polisi lingekaa kimya kuhusu tukio hili. Lisingetoa taarifa kama hii ambayo ukiitathmini kwa kina ina walakini na ukakasi mwingi, naona kama inahamasisha Wananchi ili wajichukulie Sheria mikononi.
Ndio Panya Pori lenyewe lilikuwa linajiita!Hilo la kushoto lililovaa baraghashia ni panya kweli, si unaliona
Dada wacha maneno mengi mume anakusubir mule mwaka mpya kitandaniMtoto wako/ndugu yako akiwa mhalifu utakubali apigwe chuma? Au ushabiki maandazi.
Wahalifu washungulikiwe kwa mujibu wa sheria sio kuwajaza hao polisi kichwa waanze kuua watu hovyo! THIS IS NOT A POLICE STATE. Ni nchi ina sheria zake sema ujinga ujinga umetujaa wabongo
Aisee inawezekana polisi wana akili kama hizi piaWewe unaweza kukabilianaje na watu wenye mapanga? Unajua vitu vingine tusiongee kirahisi.
Waharifu wenye mapanga wakigoma kujisalimisha (wawe tayari kushambulia), wewe ungekuwa polisi ungecheka nao sio?
Haiingii akilini Polisi from nowhere wapige tu watu risasi tena Vingunguti! Kwa hili wanastahili pongezi otherwise watalaumiwa tena kwa kushindwa kuwadhibiti hao nguruwe pori!Daah inaumiza lakini kuna Scenario chache sanaa Polisi wataamka waje kumpiga tu Kijana wa miaka 22 risasi...! Panya road ni tatizo ambalo halitakiwi kuumiza Vyombo vya usalama kichwaa kushindwa kulidhibiti ni matusi kwa jeshi la Polisi lakini Ukitumia sana demokrasia hili suala litawashinda polisi the hard way is the only way.
Nakumbuka hata Magu alipokuwa anachukua nchi alisema wazi kuhusu majambazi... hakuna kesi ya kupelekana mahakamani ya ujambazi na kweli ujambazi ulipungua sanaa kama sio kuisha. Mambo ya kuteka magari sijui kuvamia mabank yani iliisha kabisa.