Kuna mwingine panyaroad kakimbia anaitwa panya white ndio wewe Nini?Kutokana na Mazingira ya tukio lenyewe pamoja na shuhuda ambazo tayari zimetolewa hadi leo hii kuhusiana na tukio hili, haikufaa tena kwa Jeshi la Polisi kutoa taarifa kama hii waliyotoa, ambayo inakinzana na matakwa ya Sheria za nchi hususani suala zima la Utawala Bora wa Sheria. Polisi walipaswa kukaa kimya bila kusema kitu kingine chochote kile zaidi ya shuhuda ambazo tayari zimetolewa na Wananchi wahanga.
Mzee kwani ujui Kuna wazazi mtoto anaweza kuwa mwizi na akibisha kwamba sio mwizi, polisi wamefanya kazi iliyotukukaDaah, mbona maelezo ya baba mtu ni tofauti?
Hii kitu hakuna msalie mtume Wala mpiga kengere kanisani.Hakuna haki Wala utawala wa Sheria Kwa panyarodi,hii watu ni wakatili sana na bora muda mwingine tuwapongeze na kuwatia moyo polisi wetu Kwa kazi iliotukuka.Nenda Saudi Arabia ukajionee ukubwa wa uharifu umepungua sana wastani wa matukio zero hii ni kutokana na kula chuma,kisu Cha shingo au kunyongwa.Kutokana na Mazingira ya tukio lenyewe pamoja na shuhuda ambazo tayari zimetolewa hadi leo hii kuhusiana na tukio hili, haikufaa tena kwa Jeshi la Polisi kutoa taarifa kama hii waliyotoa, ambayo inakinzana na matakwa ya Sheria za nchi hususani suala zima la Utawala Bora wa Sheria. Polisi walipaswa kukaa kimya bila kusema kitu kingine chochote kile zaidi ya shuhuda ambazo tayari zimetolewa na Wananchi wahanga.
Wamama kama nyie ndo maharibu watoto, mtoto mwizi bado unamlea Lea fanya mpango ww kumpa hata fimbo au mpeleke polisi akachapwe vibokoJifikirie vizuri tena unaujua uchungu wa mtoto hata angekua nyoka road ziwezi kuwish afe
Wamefanya kitu sahihi.Kwa taarifa hii ya Polisi, Je, wanatoa ujumbe gani kwa umma hususani kuhusiana na suala la utawala bora wa Sheria na Utii wa Sheria bila shuruti????
Kwa maoni yangu na kwa kuzingatia hali halisi iliyopo kuhusiana na tukio hili, naona yafaa Jeshi la Polisi lingekaa kimya kuhusu tukio hili. Lisingetoa taarifa kama hii ambayo ukiitathmini kwa kina ina walakini na ukakasi mwingi, naona kama inahamasisha Wananchi ili wajichukulie Sheria mikononi.
Tena hata akisikia kwamba mwanae ni mwizi hataki kumuonya na toto ndio linazidi kuharibikiwa.Wamama kama nyie ndo maharibu watoto, mtoto mwizi bado unamlea Lea fanya mpango ww kumpa hata fimbo au mpeleke polisi akachapwe viboko
Naunga mkono hoja.Kama kweli ni panya road nawapongeza jeshi la polisi na kuhimiza wananchi wenzangu kuendelea kujichukulia sheria mkononi kukabiliana na wahalifu wa aina yoyote ile.
Ungewapigia yowe la mwizi [emoji1787]Bado nina hasira na hawa watu,jamaa wawili walikuwa na boda juzi nilikuwa nafanya mazoezi wakanichapa mgongoni na kitu nahisi ni waya au ubao,wakakimbia sijui lengo lao lilikuwa ni nini...
NAUNGA MKONO HOJA!Mage dada yangu kama kweli polisi waligundua ni waovu naona pia wameuawa kistaarabu sana, nafikiri hujawahi kuona unyama wa hali ya juu wanaofanya hawa vibaka sio?
Basi yeyote ambaye aliwahi kukutwa na dhahama ya vibaka atakushangaa sana sana ,jamaa yangu mpaka leo haongei vizuri walitaka kumchinja bahati nzuri watu wakatokea wakiwa washaanza ,hao sio wa kwenda kulimishwa hawastahili kuishi.
Polisi hawana mamlaka ya kuhukumu nani ni muhalifu, polisi wanatuhumu tu, mahakama ndiyo inayohukumu.Kwa taarifa hii ya Polisi, Je, wanatoa ujumbe gani kwa umma hususani kuhusiana na suala la utawala bora wa Sheria na Utii wa Sheria bila shuruti????
Kwa maoni yangu na kwa kuzingatia hali halisi iliyopo kuhusiana na tukio hili, naona yafaa Jeshi la Polisi lingekaa kimya kuhusu tukio hili. Lisingetoa taarifa kama hii ambayo ukiitathmini kwa kina ina walakini na ukakasi mwingi, naona kama inahamasisha Wananchi ili wajichukulie Sheria mikononi.
Word...Hii sio sawa hao polisi siku wakikukuta kona wakasema wewe ni paka road nani atathibitisha ukweli... Japokua uhalifu unakera tusikubali mtego wa kukubali polisi kuua watu. Kutakua na mazishi kila siku.
Uporaji hata mbele upo na watu wanapelekwa mahakamani. Chuma ni pale ambapo hao panya wana silaha (kupambana) sasa hii chuma ya bongo inaonekana polisi hawataki kashikashi za mahakamani so wanatumia shortcut.
N.b siwezi kupendekeza mwanangu mhalifu apigwe risasi ila ashungulikiwe aende jela huko anaweza kutoka huko akawa mtu mzuri.
Embu sema wewe wasaidiwe vipi?Kwa hivyo akili za polisi ni km panyaroad wavuta bangi! Wale vijana wanatakiwa wakamatwe wasaidiwe!
Watu wanatetea lakini hawatui hao panyaroad wangeondoka na innocent souls gapi kama wasingedhibitiwa kabla hawajafanyaSijasupport vijana hao kuuwawa, ila kuwashambulia kwa risasi za mguu ni sawa kabisa kama hawakutaka kujisalimisha na wakaanza kuwashambulia askari, UNLESS HABARI IWE IMEPIKWA.
Taarifa hapo juu inasema waliwataka wajisalimishe ila hawakuwa tayari kufanya hivyo, wakapiga risasi hewanu bado hawakutaka kujisalimisha, mbele ya watu wenye mapanga wanaoshambulia Polisi ilibidi wapambane kwa mikono? Panga unalichukuliaje mkuu?
Ila jamaa umeelewa maelezo ya police?, ulitaka wakamatwaje wakati walianza kuwashambulia police baada ya kuambiwa wajisalimishe?Mtoto wako/ndugu yako akiwa mhalifu utakubali apigwe chuma? Au ushabiki maandazi.
Wahalifu washungulikiwe kwa mujibu wa sheria sio kuwajaza hao polisi kichwa waanze kuua watu hovyo! THIS IS NOT A POLICE STATE. Ni nchi ina sheria zake sema ujinga ujinga umetujaa wabongo
Litakuwa Kofi la mgogo Hilo la mtu aliyekomaaBado nina hasira na hawa watu,jamaa wawili walikuwa na boda juzi nilikuwa nafanya mazoezi wakanichapa mgongoni na kitu nahisi ni waya au ubao,wakakimbia sijui lengo lao lilikuwa ni nini...