Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Wewe pimbi kweli wewe si umesema nilete evidence kutoka kwenye Bible,sasa Agano la kale sio Bible but agano jipya ndio Bible,endelea kukaza FUVU huko viongozi wenu wakiwa wanaendelea Kubariki ndoa za Jinsia moja.
Kwa nini una ji limit kwenye ligi za Ukristo na Uislamu wakati hii issue ni pana kuliko Ukristo na Uislamu?

Hata tukiuondoa Ukristo na mambo ya Biblia kuondoa migogoro ya tafsiri.

Waislamu wapo minorities kwenye nchi ambazo si za Kikristo, huko India, huko Japan.

Sasa, ni sawa Wajapan na Wahindu wawanyanyase Waislanu waliopo huko, wawalishe nyama ya nguruwe mchana kwenye mfungo wa Ramadhan kwa sababu Waislamu wanatakiwa kuheshimu dini za wenyeji wa huko?
 
sema waroma wameuwa kuliko wengine, ila sio wakristo. wapi wameuwa tueleze? wapi wakristo wanachapa watu wengine wasiofunga, wapi wanajitoa mhanga, wapi wanavikundi vya al shabab, wapi wanaamriwa kuua wasio wakristo.
Waroma ndio wakristo wenyewe wao ndio wametunga story zote mpka za utatu mtakatifu wao ndio wamezipanga tena kwa kura, siku ya jpili. Na utunzaji wa biblia na kufanya edit ni wao ,wewe sijui unazungumzia wakristo wepi.
 
Hiyo juu yako.
waislam acheni kujiona dini yenu ndio important ya wengine sio halafu mforce watu wawe kama nyie . Eti mfuate taratibu zenu. Nyie nani hakuna kwenye ukristo tumefundishwa kuheshimu sio kulazimishwa
 
Jee umeona alicho uliza kisha me ndo nikamjibu
 
Jee umeona alicho uliza kisha me ndo nikamjibu
Umekimbia kujibu seali langu oa post namba 203.

Ndiyo hilo hilo linakurudia, hata ukiwafuta Wakristo, bado swali linakuandama.

Niliandika hivi.

Hujajibu swali.

Achana na Wakristo.

Waislamu wakiwa Japan huko, watu wanakula nguruwe.

Waislamu walazimishwa wale nguruwe mwezi wa Ramadhani kwa sababu wanatakiwa kuheshimu dini za wenyeji wao?

Kwa nini unakwepa swali hili?
 
N

Unakula saa 1 usiku, saa 5 usiku unakula na saa 10 unakula tena.
Akila hadharani anakutamanisha tena. Tatizo huwa mnafunga kula na siyo kuacha dhambi. Umefunga na bado unapenda ugomvi
Sheria zipo znz unateseka wewe ulioko tandika kwa mfuga mbwa ujinga ni mzigo pole sana
 
Sheria zipo znz unateseka wewe ulieko kibosho ujinga kweli ni mzigo pole sana
 
Sheria zipo znz wewe mtanganyika wa tandale kwa ndevu inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole
 
Sheria zipo znz unaumia wewe mtanganyika ulioko manzese kwa mfuga mbwa pole sana
 
Hakuna Sheria Ya Zanzibar Bali Kuna Sheria Ya Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Na Pia Zanzibar Sio Nchi Ya Kiislamu Wala Kikristu Tutambue Hilo. Ile Sio Nchi Kama Ni Nchi Walete Ushahidi Wa Bendera Ya Zanzibar.
Tatizo lako unaifananisha znz na mkoa wako kilimanjaro unasahau kwaba na wao kuna Mambo wana mamlaja nayo kama hayo ya kuzuia watu kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Utanipangiaje pa kulia chakula changu? Kwani ulinisaidia kukitafuta. Walafi tu nyie. Mtu mzima unashindwaje kujizuia na kuendelea na mfungo wako kisa umemuona mtu akila chakula chake? Nyie ni watoto wenye maumbo makubwa tu. Hivyoooo
Hizo ni sheria na taratibu walizoziweka hao smz usipofata polisi wapo watakushughulikia
 
Znz kula hadharani mchana wa Ramadhani ni kosa hizo sheria zipo muda mrefu tu na kabla ya Ramadhani Serikali ishatoa Angalizo
 
Hizo ni sheria na taratibu walizoziweka hao smz usipofata polisi wapo watakushughulikia
Zanzibar hakuna sheria inayokataza mtu kula mchana kipindi cha Ramadhan, hizi ni figisu za watu tu.

Ndiyo maana wanaishia kusema "heshimu utamaduni wa watu" na "heshimu dini za watu". Hakuna sehemu ambapo wanakwambia heshimu sheria za Zanzibar.

Kama unabisha iweke hapa hiyo sheria tuione.
 
Znz kula hadharani mchana wa Ramadhani ni kosa hizo sheria zipo muda mrefu tu na kabla ya Ramadhani Serikali ishatoa Angalizo
Zanzibar hakuna sheria inayokataza mtu kula mchana kipindi cha Ramadhan, hizi ni figisu za watu tu.

Ndiyo maana wanaishia kusema "heshimu utamaduni wa watu" na "heshimu dini za watu". Hakuna sehemu ambapo wanakwambia heshimu sheria za Zanzibar.

Kama unabisha iweke hapa hiyo sheria tuione.
 
Sheria zipo znz unateseka wewe ulioko tandika maguruwe pole sana
 
Wewe wacha kujifanya mjuaji hizo sheria zipo toka Enzi na Enzi wewe njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua kama zipo au hakuna karibu sana znz
 
Inaonyesha umesahau kua znz wana katiba yao wana sheria zao
 
Wewe wacha kujifanya mjuaji hizo sheria zipo toka Enzi na Enzi wewe njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua kama zipo au hakuna karibu sana znz
Sheria gani?

Iweke hapa nukuu kifungu fulani fulani cha sheria za Zanzibar kinasema hivi na hivi.

Weka maneno ya hiyo sheria kama yalivyoandikwa kwenye sheria, tupe chanzo chako.

Usilete maneno ya uongo tu.
 
Inaonyesha umesahau kua znz wana katiba yao wana sheria zao
Sheria gani?

Iweke hapa nukuu kifungu fulani fulani cha sheria za Zanzibar kinasema hivi na hivi.

Weka maneno ya hiyo sheria kama yalivyoandikwa kwenye sheria, tupe chanzo chako.

Usilete maneno ya uongo tu.
 
Zanzibar ni nchi huru yenye, tamaduni, mila na desturi zake. Pia sheria kanuni na katiba yake, wewe kama nani uwaingilie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…