Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa nini una ji limit kwenye ligi za Ukristo na Uislamu wakati hii issue ni pana kuliko Ukristo na Uislamu?Wewe pimbi kweli wewe si umesema nilete evidence kutoka kwenye Bible,sasa Agano la kale sio Bible but agano jipya ndio Bible,endelea kukaza FUVU huko viongozi wenu wakiwa wanaendelea Kubariki ndoa za Jinsia moja.
Hata tukiuondoa Ukristo na mambo ya Biblia kuondoa migogoro ya tafsiri.
Waislamu wapo minorities kwenye nchi ambazo si za Kikristo, huko India, huko Japan.
Sasa, ni sawa Wajapan na Wahindu wawanyanyase Waislanu waliopo huko, wawalishe nyama ya nguruwe mchana kwenye mfungo wa Ramadhan kwa sababu Waislamu wanatakiwa kuheshimu dini za wenyeji wa huko?