Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Kwa namna unavyoropoka yawezekana hata hiyo Zanzibar unaionaga kwenye picha,Tv na Simu tuu ila hujawahi fika wala kuishi huko.
Watu wanakamatwa ndani,yaani ndani ya nyumba wewe wacha kukurupuka uliza wenyeji.
Pale kanisani walikamatwa wakiwa sehemu ya kula iliyopewa kibali.
Ilikuwa ukikutwa huna sahani unasombwa tuu.
Ila ukifikishwa huko kesi inakuwa kula hadharani
 
Dini inakuwa kwa kasi kwa kuzaliana sio ideology au convert watu pia ila ni dini ya hovyo ....itaendaelea kuwepo ila after sometime nchi zingine zitaanza kupiga marufuku koz ina mafundisho ya hatari kwa binadamu mfano kuchukia watu wengine
 
Tafadhari naomba kufahamishwa kwa mjibu wa taratibu za kiislam ni sahihi kuwatendea hivyo wasio waislam ? Tena kwenye maeneo yao?
 
Umemuuliza maswali mazuri sana

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?
Makobazi wanafiki sana, mnafanana na makaburi yaliyopambwa vizuri kwa nje ila ndani ni mifupa mikavu. Wacheni watu wajinafasi kula kujiachia. Vitendo mfanyiavyo watu hata serikali yenu imewakana acheni uhuni wa kipumbavu kwa kujifanya waswalihina kuliko hata mtume.
 
ninachoshangaa, unasema kula mwezi wa ramadhani ni ushetani, bila kujua kuwa uislam wenyewe ni ushetani. au tukufafanulie zaidi huo ushetani? utakuwa tayari kupata za uso?
Na nyie Dini yenu si ndio Ina saport USHOGA ama si nyie,kiongozi wenu ana bariki huko
 
Kumbe mnafahamu mnavyo fanya makaburini ni kazi bure.
 
Ni wapi kumeandikwa Wakristo wale Nguruwe
 
Tafadhari naomba kufahamishwa kwa mjibu wa taratibu za kiislam ni sahihi kuwatendea hivyo wasio waislam ? Tena kwenye maeneo yao?
Sio sahihi, tatizo watendaji wengi wa serikali wana mihemko, mtu akikabidhiwa jukumu hulifanya kwa kupitiliza pasi na kuweka mbele utu. Wanajali sana maagizo wanayopewa bila kuingiza utu. Mtume Muhammad (SAAW) ameagiza kuwatendea wema wasio waislam. Na sio dhambi kama muislam atapata wageni wasio waislam mchana wa Ramadhan na akawatengea chakula. Kwani wao funga hiyo haiwawajibikii kisheria.
 
Kwanza ukifunga hutakiwi kujionyesha,unafunga rohoni na sio mwilini. Usikute umefunga Ila unachati na mchepuko unamwambia subiria nifungue tutafanya kula utamu.
Pia ukiwa umefunga hata nikikuangalia usoni tu haitakiwi nijue ,hii ishu sio za kimwili Wala kijaziba.

Why Imani yako wewe uwe kero kwa mwingine,yaani unafunga ramadhani unazini shabani.
Mlipofunga penyewe kuchapa ama kuwashtaki wengine unaona hayo ndio matendo mema kwa Muumbaji wako
 
Nabii Issa AS nae alisujudu kama hivi unavyo ona Umma Bora unafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…